Majaji wa VODAFASTA hawatabiriki kabisa unaweza kushangaa mahanga anashinda kesi. Hii ni nchi ya dhuluma kwa hiyo chochote kinaweza kutokea
Kutokana na kesi inayomkabili Mbunge wa Segerea Mhe. Mahanga jana wakati akihitimisha mjadala wa muswada wa sheria kuhusu Mamlaka ya udhibiti wa mashirika ya hifadhi za jamii alijikuta akijitabulisha kama anazungumza kwa niaba ya waziri wa fedha badala ya waziri wa kazi na ajira.
Nashauri ni muda muafaka washauri nasaha wamsaidie ili asichanganyikiwe zaidi!
Mahanga kupigwa chini kwenye hii kesi haikwepeki, ajabu ni kwamba atakata rufaa
Halafu ana kisukari sikilizia mziki wake
nimeipenda hii,me niltaka awe jaji wa system