Watu wana utani kwenye useriousNahis daudi bashite anaweza kuwa role mode wako,
Uteller hausomewi bali hupatikana kwa uzoefu tuNafanya kazi tasisi fulani ,sijaajiriwa nafanya kama contract nimefanya nao kwa muda wa miaka mitano hivi. Elimu yangu ni ya Secondary ambaye nilifeli kidato cha nne yaani sikupata Certificate (Ziro).
Kazi ninayofanya ninafanya vizuri kwani Management inakubali utendaji wangu. Naomba kujua ni Chuo gani nawezakupata kozi ya Teller kwani nikipata hii kozi nirahisi kwangu kupata ajira ya kuajiriwa. Nilishawahi kuvolunteer hii kazi kwa sasa ninachohitaji ni kupata chuo niweze kusomea hii kozi.
Naomba Msaada wenu ndugu zangu. Asanteni Sana.
Mkuu me pia nahitaj hayo maujanja kwasababu namalengo yakurudia mtihan mwakanNi PM twende sawa ila kurudia mtihani muhimu ila maujanja nitakupa, kuna online course nyingi sana zitakufikisha mbali na utasoma huku ukifanya kazi
Mkuu na mimi nimependa maujanja ya kozi za online,,, naomba maelekezoNi PM twende sawa ila kurudia mtihani muhimu ila maujanja nitakupa, kuna online course nyingi sana zitakufikisha mbali na utasoma huku ukifanya kazi