mahakimu wanachukiwa

mahakimu wanachukiwa

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
20,993
kuna jamaa dereva alikuwa anachuki na mahakimu kila siku ana drive nje ya mahakama ili akimuona hakimu amgonge, sa siku kampa lifti padri na kupita mahakamani mara hakimu huyu hapa, akataka kumgonga akakumbuka yuko na father ikabidi amkwepe. kuangalia sight mirror anamuona hakimu anagalagala anamwambia father mbona sijamgonga father akamjibu ulipo mkosa nika mbamiza na mlango!
 
Duh! kweli wanachukiwa hadi mchunga kondoo anaamua kumfanyia kondoo wa baba yake
 
Hahahahaha duh umefurahi kwa kweli!!
Sasa baba mchungaji nae amekosana nn na hakimu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom