Mahakama za Kenya ziko huru sana natamani Tanzania tufike huko!

CCM kufika huko ni hadi DAMU imwagike, same thing ndiyo ilifanya Kenya ikawa na hii katiba mpya inayotoa UHURU wa muhimili.

BBI BILL ni null and void, sasa kesi ya matumizi mabaya ya fedha za umma inakuja.
 
Bado tanzania ni mwanafunzi kwa kenya!!! Kenya kwenye swala la uhuru na haki kwenye mahakama wapo fair sana, hapa hata hatumjui jaji mkuu , maana anaonekana tu kwenye matukio maalumu
 
Nimetoka kufuatilia rufaa ya serikali ya Kenya katika ile kesi ya BBI.

Natamani mchakato wa katiba mpya ya Tanzania uzingatie pia uwepo wa uhuru wa mahakama.

Mungu ni mwema wakati wote!
Huwezi kufika huko na CCM hii unayoishabikia hapa kila siku!
Mara nyingi mada zako ni kama za kujitoa akili tu hazina maana yoyote!

Hii haina maana kwamba nashabikia hayo yanayofanyika huko Kenya. Wao wanayo madhaifu yao mengine, tena makubwa!
 
Matatizo ya hii nchi yataisha siku CCM ikitoka madarakani,
Vilevile na maendeleo ya kweli yatapakikana CCM ikifa
 
Bado tanzania ni mwanafunzi kwa kenya!!! Kenya kwenye swala la uhuru na haki kwenye mahakama wapo fair sana, hapa hata hatumjui jaji mkuu , maana anaonekana tu kwenye matukio maalumu
IKo hivyo kwa sababu wote hao ni CCM. Kila mmoja wa hao wateule anapigania chama hicho ili aendelee kushiba.

Hapo pana ugumu gani kuuelewa, tofauti iliyopo huko na huku!
 
Nimetoka kufuatilia rufaa ya serikali ya Kenya katika ile kesi ya BBI.

Natamani mchakato wa katiba mpya ya Tanzania uzingatie pia uwepo wa uhuru wa mahakama.

Mungu ni mwema wakati wote!
Unataka mahakama huru hapohapo unapinga KATIBA MPYA .. yaani ukiwa ccm lazima uwe kia.z
 
Nimetoka kufuatilia rufaa ya serikali ya Kenya katika ile kesi ya BBI.

Natamani mchakato wa katiba mpya ya Tanzania uzingatie pia uwepo wa uhuru wa mahakama.

Mungu ni mwema wakati wote!
Wacha kulinganisha watu wenye akili kubwa na mautopolo! Hivi unaiona akili ya Mwigulu? Unaiona akili ya Ndugai iko sawa hiyo?
 
Back
Top Bottom