Mahakama yaamuru Manji kuwalipa Waandishi wa Habari Tsh. Milioni 232

Manji hana hata mia sasa hivi. Hizo hela sijui watalipwa na nani.

Anaishi kama shetani kwa mujibu wa kauli ya baba Jeska.
 
Manji hana hata mia sasa hivi. Hizo hela sijui watalipwa na nani.

Anaishi kama shetani kwa mujibu wa kauli ya baba Jeska.
Anaishi kama shetani kwenye nchi gani mkuu?manji alishasepa kitambo sana majengo aliyoacha yote alichukulia mikopo, tena mikubwa kuliko asset alizonazo.
 
Back
Top Bottom