Mahakama yaamuru Manji kuwalipa Waandishi wa Habari Tsh. Milioni 232

Hili Swali la Manji yupo Tanzania najua Watu wa UHAMIAJI 'linawauma' ile mbaya tu pia kwani 'aliwatoroka' Kimedani kabisa kwenda zake Canada.
To exit Tanzania mbona ni rahisi sana, tena kwa tajiri ni rahisi zaidi.

Mtu ambaye angepata shida ya kutoroka ilibidi awe ni Oscar Kambona lakini alisindikizwa na gari kutoka Dar mpaka Namanga na kuelekea zake Nairobi to London Uk.

Aliyemtorosha Kambona amenihadithia hili kabla hajafa kwa sasa mzee ni marehemu R.I.P
 
Miaka miwili nyuma ( kama sijakosea ) hakutakiwa kutoka nchini ila nilivyoambiwa 'alivyotoroka' na 'Mbinu' aliyoitumia niseme tu Shikamoo Kwake.
Tumegeee kidogo mbinu alizotumia kutoroka. Na kwa comment yako hii ina maana unathibitisha hayupo nchini.
 
To exit Tanzania mbona ni rahisi sana, tena kwa tajiri ni rahisi zaidi.

Mtu ambaye angepata shida ya kutoroka ilibidi awe ni Oscar Kambona lakini alisindikizwa na gari kutoka Dar mpaka Namanga na kuelekea zake Nairobi to London Uk.

Aliyemtorosha Kambona amenihadithia hili kabla hajafa kwa sasa mzee ni marehemu R.I.P
Mkuu nikikuhadithia hapa jinsi Manji 'alivyowaacha' katika Mataa ( Solemba ) Watu wa UHAMIAJI utakubaliana nami kuwa kuna 'tatizo' pia mahala.
 
Miaka miwili nyuma ( kama sijakosea ) hakutakiwa kutoka nchini ila nilivyoambiwa 'alivyotoroka' na 'Mbinu' aliyoitumia niseme tu Shikamoo Kwake.
Hizo mbinu tupe dondoo kidogo, inabidi tumuombe PK zile 'honey traps' tutamnasa tu.

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Hizo mbinu tupe dondoo kidogo, inabidi tumuombe PK zile 'honey traps' tutamnasa tu.

Everyday is Saturday............................... :cool:
Sizitoi ng'o Mkuu hata uniahidi 'Mbunye' yako kama Wewe ni Mwanamke. Shikamoo sana Kwake 'Manji' kwa 'Kuwaacha' Watu 'Kimedani' mno tu.
 
ISizitoi ng'o Mkuu hata uniahidi 'Mbunye' yako kama Wewe ni Mwanamke. Shikamoo sana Kwake 'Manji' kwa 'Kuwaacha' Watu 'Kimedani' mno tu.
Sina mbunye, itabidi tukutafutie na zile 'honey traps'.
Ila watu wenye pesa siyo wa mchezo mchezo, rejea x-boss wa Nissan Carlos Ghosn, alivyochomoka Japan.

Ile jigsaw puzzle bado kuna pieces hazijakamilika.

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Back
Top Bottom