S sagamawe Senior Member Joined Aug 3, 2012 Posts 148 Reaction score 36 Mar 27, 2013 #1 Naomba msaada kwa yeyote ambaye anaweza kuwa na media yenye habari inayomnukuu naibu waziri wa Katiba na Sheria Mh. Anjela Kairuki kuhusu mahakama ya Temeke kukosa vyoo anisaidie. Natanguliza shukrani
Naomba msaada kwa yeyote ambaye anaweza kuwa na media yenye habari inayomnukuu naibu waziri wa Katiba na Sheria Mh. Anjela Kairuki kuhusu mahakama ya Temeke kukosa vyoo anisaidie. Natanguliza shukrani