Mahakama ya Tanga inaongoza kwa kutoa hukumu mbili zilizo tofauti

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
821
1,343
Achilia mbali yule mjane alielia mbele ya raisi nilishwahi kupost uzi hapa na kuitaja mahakama ya Tanga kua inakiuka haki nyingi sana za binadamu na kuonea wanyonge ikiwa ni pamoja kutoa hukumu matoleo mawili tofauti au hukumu kuandikwa kitu tofauti na alichosema au anachodai mteja wamahakama na kupelekea haki kupotea.

Mamlaka husika zinachukulia poa hili swala lakini zinaweza kugundua mapungufu hayo kwa kuangalia rufaa zote za mwaka jana na kuingia ndani zaidi ya rufaa hizo ili wajiridhishe haya ninayoongea,ukiulizia zile rufaa zaidi ya 89% wanalalamika kua kilichondikwa kwenye hukumu sicho kilichotolewa ushahidi ama kutolewa maelezo ,mfano mlalamikaji akisema tulikua na gari mbili namba TXR 324 hukumu ikitoka utakuta imeandikwa walikua na gari moja TAX 234 sasa mteja anadai vipi kitu ambacho hakipo ??? Kuna madudu mengi na rushwa za kishenzi sana kuamzia usimamizi wa kesi mpaka hukumu pia na jeshi la polisi kutoa ushahidi feki
 
Kwa kweli hawa ndugu zetu wa upande huu wa mahakama(majaji,mawakili) na jeshi la polisi & baadhi usakama wataifa mujiangakie ipo siku nanyi mtaacha hizo kazi mtakumbwa na swahibu haya kwani wanao wasaidia hawata wasaidia kwa kuwa mmekwisha poteza uwezo wenu wakazi au nafasi zenu za awali...

Seeing is believing.
 
Mahakama zikitenda kulipa ngana na wakuu hakutakiwa na haki.Unaposema Mahakama isiingiliwe wakati RPC na RC DC na wengine wanauwezo wa kuingilia Mahakama unayohaki gani kumtuhumu Hakimu??

Iangalie Kesi ya Lema jinsi RC na Mtukufu sana walivyo weka makucha halafu unasema.Mahakama zitende haki wakati wakuu hawataki haki unategemea nini??
 
Back
Top Bottom