Mis powers
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,724
- 3,490
Kuitwa Mke wa Mkuu wa Wilaya siyo mchezo jamani nyie. Muacheni apambanie cheo hichoMwanamke anampendea huo ukuu wa wilaya.
Kapuku aige ajifanye anataka talaka aone atakavyoachiwa manyoya huku analia hadi anapenga kamasi.