Mahakama ya Mwanzo Ukonga imekataa ombi la Mkuu wa Wilaya ya Chemba, Simon Odunga kumtaliki mkewe

Mwanamke anampendea huo ukuu wa wilaya.

Kapuku aige ajifanye anataka talaka aone atakavyoachiwa manyoya huku analia hadi anapenga kamasi.
Kuitwa Mke wa Mkuu wa Wilaya siyo mchezo jamani nyie. Muacheni apambanie cheo hicho
 
Hamna shida,mahakama imeamuru atoe 250,000/=kwa mwezi ukigawanya kila siku ni kama 8400/=,sasa hela yako ya matunzo ya mtoto utakuwa unaikuta kwa mjumbe wa mtaa kila siku,halafu tusisumbuane😎😎
Magunia ya mkaa yameshuka bei hilo janamke halijitambui lakuchoma kabisa kuni nauza akikosa mkaa
 
Huyu mwanamke ana hatari, mwenzio hamtaki alafu yeye analazimisha,Jamani!!!
Ndugu za huyu mwanamke jaribuni kumuonya huyu ndugu yenu, anacheza na kifo!
Ina maana kwamba huyu mwanamke haoni au hajawahi kusikia kabisa juu ya visa vya wanandoa kuuana kutokana na migogoro kama hii??Pesa hazitafutwi kwa namna hii, riziki huwa haivutwi kwa kamba!
Halafu huyu hakimu na wazee wa mahakama walioamua hii kesi nao wanatakiwa wajitathmini kuhusu maamuzi yao kwa kesi kama hizi, ni uamuzi wa hatari sana huu.
Uamuzi kama huu Unaweza kuongeza kasi ya mauaji na kuumizana kwa wanandoa ambao wako kwenye migogoro kama njia mbadala ya kuepuka maamuzi ya hovyo ya mahakama kama haya kwenye kesi hii.
Nitoe wito kwa wanandoa ambao "ndoa zao zimekwenda mrama" kama hii ya huyu DC, waachane au watengane kwa upendo ili kuhakikisha unakuwepo Usalama na amani kwa kila mmoja. Hakuna sababu ya kung'ang'ania kuwepo kwenye ndoa wakati upendo haupo kwa wanandoa mwenyewe.
 
Back
Top Bottom