Rushwa katika nchi hii ni kila mahali. Wala tusijidanganye kwa kufikiri kwamba majaji wa serikali siyo wazuri kwa kuitetea serikali, hapa ni rushwa na inawezekana baadhi yao wanashiriki katika kuhakikisha wanashindwa ili wapate chochote na sijui kama kuna incentive yoyote wanapata kwa kushinda kesi zaidi ya mshahara ambao kimsingi ndo haki yao. Baadhi ya mawakili binafsi wanaweza kuwa wahongaji wakubwa, na kwa hivyo ni wazi lazima muda wote washinde. Saa ingine serikali ichukue baadhi ya kesi zake na izikabidhi kwa mawakili binafsi kwa makubaliano manono kidogo zaidi ya commission wanayopata toka kwa watu binafsi ili tuone matokeo yake. Lakini vile vile hao mawakili wa serikali wahusishwe kuanzia stage za awali hasa kwenye kesi zenye maslahi na taifa ili ziandaliwe katika mazingira rahisishi kuishinda. Lakini pia wanaweza kuwa assessed kila wakati ili kujua uwezo wao.Ushahidi usio na mashaka. Mimi nadhani wanasheria wa serikali sio wajanja sana (kuna kesi ya mauaji Ilikuwa na miaka 10) ukilinganisha na mawakili wa kujitegemea ambao nia yao kuu ni kushinda kesi. Bora kumpata mtu kwa kidogo chenye ushahidi thabiti kuliko kwa makubwa ambayo utashindwa kuyatetea. Sio tu mahakimu wanaoweza kununuliwa hata mashahidi na waendesha mashitaka nk.
Ninavyohisi mahakama hizo zitasimamiwa na wanaojua sheria zinazohusu ufisadi, rushwa na uhujumu uchumi vizuri. Pengine kuna wanaonolewa sasa hivi. Naona bunge hili litatilia mkazo uboreshwaji wa jela.
Kuhusu kurejeshwa kwa pesa itategemea huyo mtu aliinvest wapi. Kuna wale ambao wanadaiwa Bil. 18, property zao zilizoshikwa ni Bil 6 na baada ya mnada inawezekana kabisa hata hiyo 6 isipatikane. Utaratibu wa account na property za nje ya nchi siufahamu.
Kikwete na Rith wataponea wapi?
kwa withi..Walikushughulikia nini?
Kama akina Masamaki, Kitilya, Sioi au siyo?
Walikushughulikia nini?
dalili za kupanic hizi asubuh yote hii wakat hakuna hata joto full kiubarid relax......
Asante kwa hoja yako mkuu! Nimekuelea angalao na hiyo ndio hoja sio wajinga wajinga wasioju lolote zaidi ya mihemko isomaana.Ushahidi usio na mashaka. Mimi nadhani wanasheria wa serikali sio wajanja sana (kuna kesi ya mauaji Ilikuwa na miaka 10) ukilinganisha na mawakili wa kujitegemea ambao nia yao kuu ni kushinda kesi. Bora kumpata mtu kwa kidogo chenye ushahidi thabiti kuliko kwa makubwa ambayo utashindwa kuyatetea. Sio tu mahakimu wanaoweza kununuliwa hata mashahidi na waendesha mashitaka nk.
Ninavyohisi mahakama hizo zitasimamiwa na wanaojua sheria zinazohusu ufisadi, rushwa na uhujumu uchumi vizuri. Pengine kuna wanaonolewa sasa hivi. Naona bunge hili litatilia mkazo uboreshwaji wa jela.
Kuhusu kurejeshwa kwa pesa itategemea huyo mtu aliinvest wapi. Kuna wale ambao wanadaiwa Bil. 18, property zao zilizoshikwa ni Bil 6 na baada ya mnada inawezekana kabisa hata hiyo 6 isipatikane. Utaratibu wa account na property za nje ya nchi siufahamu.
Unanisoma kwa uoga?
Mkuu umeanza vibaya ukamalizia vizuri, ni bora mtu kusoma mada ukaelewa na kutoa jibu la hisia zako. Hivi hata kama ni wewe ukiangalia kina Mhando wameachiwa mpaka PCCB wanalalamikia mahakimu na Kina Kitilya wameanza kufutiwa mashtaka, tukae kimya tu? Changia tu hoja tueleweshane utaratibu na sio kuhemka tu.Nashangaa sana hii mijitu sijui uifanyie nini iwe satisfied, kuweni na subira muone, I bet the former DPP Jaji Dkt Feleshi aongoze jopo la hiyo mahakama tuone watahonga wapi, kuna majaji wako Iringa wanapikwa mpaka hivi sasa tunavyozungumza.
Kuna nini Mkuu?
kwani hao wamefungwa? muhando kisha washa green light kesi ya utakatishaji ishaota mbawa kimoja komoja kinachomoka mwisho wa siku wapo mtaani kukurupuka na mizuka kubaya.
Mbona humtaji Madabida kwa ARVs fake? Wilson Kabwe yuko wapi? Kina mramba wana tumikia miaka mingapi na waliiba kiasi gani?
teh teh. fish, ngarawa na nkkila kitu ni siasa mtu alishapata mtaji wa kura yupo magogoni anakwambia atajenga mahakama za kifisad ajabu na yeye anahusika ktk tairi hilo hilo.
Itamfunga Lowasa na mkwe wake. .Waswalihi waliwahi kunena" Nani kumfunga paka kengele?" Hii mahakama kama ni kweli itakuwepo itashughulika na akina nani? Mahakimu na majaji ni hawa hawa wa kwetu au watatoka nchi nyingine?
Wakuu nimeuliza haya kwa kutazama mwendelezo wa kesi mbambali kubwa tena zenye kulitia taifa hasara kubwa za mabilioni, Juzi hapa Kuna aliyekua mkurugenzi wa TANESCO alikutwa hana hatia na kesi kuishia hapo,kuna waheshimiwa flani wako jela kwa hukumu ya miaka single digit juu ya kesi kubwa ya kulisababishia taifa hasa za mabilioni,Wengine leo nasikia kua wameanza kufutiwa mashtaka kwa madai eti shitaka halina uzito wowote, jamani!
Kinachonipa shida ni kwamba kama taifa lilipata hasara ya mabilioni, tunaambiwa mtu hana hata, pesa zimepotea, sasa nani alikula hizo pesa?zilupotelea kwenye mikono ya nani? Nani wa kurudisha hayo mabilioni kama mshukiwa tunaambiwa hahusiki.
Afisa mmoja wa TAKUKURU alisika akilia kwa kusema Mahakama flani imejaa uozo,Sasa swali langu ni kwamba nani atakua msimamizi wa Mahakama ya mafisadi?
Tanzania Tanzania nchi yangu.
Dada hueleweki, mara unauliza wako wapi mara unasema karibuni watakuwa mitaani.
Mbona unajichanganya?
Kwani hao wamefungwa???Kama akina Masamaki, Kitilya, Sioi au siyo?
Dada hueleweki, mara unauliza wako wapi mara unasema karibuni watakuwa mitaani.
Mbona unajichanganya?