Mahakama ya Kiroba

Mahakama ya Kiroba

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
0.JPG
Mbunge wa Iringa Mjini akishiriki zoezi la Usafi.....baadae alibadilisha raba na kuvaa gum boot, Kiroba kinaonekana kwa mbali na leo ni JMS/WEEKEND...source jukwaa la siasa
 
metaarifiwa kwamba haikua haja ya Mbunge kusafisha bali kuhakikisha usafi unafanyoka kwa kusimamia uwajibikaji
Hoja si kusafisha....muhimu kuwepo na maeneo maalumu ya kutupia uchafu.
 
View attachment 79091
Mbunge wa Iringa Mjini akishiriki zoezi la Usafi.....baadae alibadilisha raba na kuvaa gum boot, Kiroba kinaonekana kwa mbali na leo ni JMS/WEEKEND...source jukwaa la siasa
Ulaya Takataka kama hizi huwa zinarudishwa Viwandani na kutengenezwa mifuko ninashangaa Tanzania hawaja vumbuwa utaalam huo au huku ulaya takataka kama hizi zinatengenezwa mbolea za mashamba ahhh Bongo kweli bado tupo nyuma kwa kila kitu jamani tutafika kweli tunakokwenda? mkuu Amavubi
 
Last edited by a moderator:
Mzizizmkavu tutafika tukiwezeshwa
 
Siyo kweli, hihihiiii.....

Inategemea wapi ila kama huku kwetu Kamchatka, hakuna kitu kama hicho.

Ahh, kumbe hata Kamchatka sijafika, nilikuwa naamanisha Sikonge ambayo si Ulaya.
Ulaya Takataka kama hizi huwa zinarudishwa Viwandani na kutengenezwa mifuko ninashangaa Tanzania hawaja vumbuwa utaalam huo au huku ulaya takataka kama hizi zinatengenezwa mbolea za mashamba ahhh Bongo kweli bado tupo nyuma kwa kila kitu jamani tutafika kweli tunakokwenda? mkuu Amavubi
 
Mheshimiwa mbunge, hiyo tu haitoshi kwa sababu huwezi kufanya hivyo kila siku. Pambana kuhakikisha kwamba kuna maeneo maalimu ya kutupa taka na magari maalumu ya kuzoa taka hizo.
 
Sikonge

hata mimi sishanga kwa sababu sidhani kama Sikonge kuna taka kama hizi za Viroba, nyie mko kikopo zaidi..........mambo ya kuchangiana/kikoa
Siyo kweli, hihihiiii.....

Inategemea wapi ila kama huku kwetu Kamchatka, hakuna kitu kama hicho.

Ahh, kumbe hata Kamchatka sijafika, nilikuwa naamanisha Sikonge ambayo si Ulaya.
 
Tembeleh, natamani ningekua na namba ya Mh nimtumie busara hii
Mheshimiwa mbunge, hiyo tu haitoshi kwa sababu huwezi kufanya hivyo kila siku. Pambana kuhakikisha kwamba kuna maeneo maalimu ya kutupa taka na magari maalumu ya kuzoa taka hizo.
kweli tunahitaji long term strategise na si zima moto
 
Back
Top Bottom