frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,099
- 1,338
Mkuu "anisamaraizie" ndiyo nini ni lugha gani?
Kukosa hoja, unarukaruka tuu kama kuku katolewa shingo.
Mkuu "anisamaraizie" ndiyo nini ni lugha gani?
Nakiri kuwa mjinga, ila mjinga zaidi ni shabhibhii nafwa!, nimekuambia Sunni wanaendesha mahakama zao za Kadhi bila kelele zozote!, Ismailiya Wanaendesha Mahakama zao za Kadhi bila kelele zozote!, sisi tunaendesha mahaka zetu za kidini bila kelele zozote, nyinyi haya makele yote ya nini?!. Jee unalijua lengo la kuuleta huu muswada?!, kwa taarifa yako usidhani kuwa serikali imeuleta kwa sababu sasa ina nia, no!, imeuleta kwa sababu ya mikelele tuu, mmeletewa ili mtuondolee mikelele tuu!.
Pasco
Huduma za Afya na Elimu zinazotolewa kwa ushirikiano wa kanisa na serikali, zinawabaguaje wasio waumini wa kikrito?
Hizi huduma zina chembe gani ya dini ya Kikristo, kwamba ni ibada au suna, kwamba zinahudumia Wakristo tu, kwamba muislam akiumwa akaenda kutibwa kwenye hizo hospital haponi au hahudumiwi? Kwamb elimu inayotolewa ni maalumu kwa wakristo tu haina uwiano na elimu ya nchi? Au Wasio Wakristo wakienda kwenye zile shule hawaruhusiwi kusoma?
Please be practical. Hii inazidi kuonyesha ni namna gani hii dhana ya udini ilivyo na confusion hata kwenu mnaosimamia kwenye udini.
Mli
Mohamed Said
Pesa za ya escrow imeliwa na Dini zote tena mwisilamu mwenzetu a Singasinga Sethi ndiye kapiga pesa ndefu.
Ujumbe umeusoma kwa umakini au weye ni kiumbe ambaye uishajiandaa tu kupinga kwa kila kitokacho/kiletwacho na majina ya KIISLAAM /Muislaamu .....!?
Rejea tena kumsoma mleta uzi tartibu uondoshe munkari na kufahamu ukweli itakuwa rakhisi kwako na si kufahamu kimapenzi.
Ahsanta na nipo kipembeni hapa.
Nakiri kuwa mjinga, ila mjinga zaidi ni shabhibhii nafwa!, nimekuambia Sunni wanaendesha mahakama zao za Kadhi bila kelele zozote!, Ismailiya Wanaendesha Mahakama zao za Kadhi bila kelele zozote!, sisi tunaendesha mahaka zetu za kidini bila kelele zozote, nyinyi haya makele yote ya nini?!. Jee unalijua lengo la kuuleta huu muswada?!, kwa taarifa yako usidhani kuwa serikali imeuleta kwa sababu sasa ina nia, no!, imeuleta kwa sababu ya mikelele tuu, mmeletewa ili mtuondolee mikelele tuu!.
Pasco
Serikali iko kwaajili ya kutimiza malengo ya Jamii yake! Waislam wa Tanzania ni sehemu ya Jamii ya Kitanzania walipa kodi! Ukisema kuwa Serikali isigharamie Walipa kodi kwakuwa tu ni Waislam itakuwa ni kosa kubwa yenye chuki dhahir na dhulma dhidi ya Jamii ya Kiislam ambayo imekuwa ikishuhudia wakidhulumiwa kwa miongo mingi ingawa wao ndo waliochangia upatikanaji wa Uhuru wa Taifa letu kwa Kiasi kikubwa! Jambo la Msingi sana la kujiuliza ni Je? Misaada ya Serikali kwa Kanisa via MOU haitokani na kodi za Waislam? Inakuwaje Mashirika ya kikanisa yanaruhusiwa kuwa na mahusiano ya moja kwa moja na wafadhili wao na wakati mwingine wana operate via NGOs huku waislam wakikatazwa kujiunga na Jamii ya Kimataifa yenye kutoa misaada kwao? Sheria ya Tanzania kwa kiasi kikubwa imetokana na Common Law iliyorithiwa kutoka Canon Law!!! Ndoa ya Mke mmoja ni pure canon Law... Mahakama ya Kadhi itakuwa kwa manufaa ya Waislam na itakuwa inashughulikia Masuala ya Ndoa na Mirathi pekee... Msukumo kutoka kwa Mataifa yenye kutumia kanisa eti wanawake wa Kiislam watadhulumiwa ni UJUHA wa kutokujua sharia za Kiislam ... Naisikitikia sana nchi yangu kwani Utabiri wa Albert Pike unatimilizwa ndani ya ardhi yetu ...
hizo hizo hospital na shule hazijiendeshi kwa faida? je, hiyo faida inamnufaisha mtanzania au taasisi ya kikristo? hiyo faida haizalishwi na kodi zetu kwa asilimia fulani? je hizo kdi zinalipwa na wakristo tu?
Pasco,
Mimi nafikiri hapo imekupuruchuka kidogo.
Chokochoko zote zinazokhusu kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhwi zimeletwa na TAMKO la wakristo kupitia umoja wao wa makanisa.
Wametoa Tamko kulitanabaisha Bunge lisipitishe muswada wa Uanzishwaji wa Mahakama hizo. Waislam wao wametulia tu ndio Jumuiya ya wanazuoni wa Kiislam wakawajibu umoja huo wa wakristo.
Na AG ndio akaweka bayana kuwa wanachohitaji waislam ni KUTAMBULIKA Kisharia kwa maamuzi yanayotolewa na Mahakama za Kadhwi na wala si kutaka fedhwa za Serikali kuhudumia Mahakama hizo kama inavyoenezwa na wakristo.
Hakika kuna mpasuko mkubwa huko Tgk kwani husda na chuki baina ya dini hizi zimetawala.
Mola awaepushe kwayo.
Nakiri kuwa mjinga, ila mjinga zaidi ni shabhibhii nafwa!, nimekuambia Sunni wanaendesha mahakama zao za Kadhi bila kelele zozote!, Ismailiya Wanaendesha Mahakama zao za Kadhi bila kelele zozote!, sisi tunaendesha mahaka zetu za kidini bila kelele zozote, nyinyi haya makele yote ya nini?!. Jee unalijua lengo la kuuleta huu muswada?!, kwa taarifa yako usidhani kuwa serikali imeuleta kwa sababu sasa ina nia, no!, imeuleta kwa sababu ya mikelele tuu, mmeletewa ili mtuondolee mikelele tuu!.
Pasco
Kure kwetu tarime kulikuwa na chifu anaitwa Chogo, ni babaake na Dr Chogo mwenye hospitali pale Mwanza mtaa wa Rufiji kama sikosei, alihukumu wakurya kwa hekima na busara sana hata hakuwai kutumia vitabu vya wakoloni wa kiarabu wala kiingereza bali alitumia mira na desturi zetu za wakurya kutoa hukumu safi.
My point ni kwamba kila jamii inahistoria yake na taratibu zake za kuendesha mashauri mbalimbali na kutoa hukumu stahiki kulingana na mila na desturi zake.
Nchi kama jamii haiwezi kuwa nchi ikiwa kila jamii zina sheria zake na zinajiendesha zinavyotaka. Kwa kulitambua hilo Mwl Nyerere ndo akafuta hizo Court zote za kijadi, kidini, nk nk ili nchi iendeshwe kwa utawala wa sheria iliyo moja ili kujenga wa umoja wa kitaifa.
Mahakama ya kadhi inanafasi katika nchi zenye jamii ya dini moja kama Saudia nk nk but kwa nchi kama yetu haina nafasi coz jamii za watanzania zimetofautiana sana kwa mila na desturi zao. wakurya na wamakonde mila zao ni tofauti mno, wamasai na wazaramo wapi na wapi!!?? ila lugha ambayo wote wanaielewa ni utii kwa sheria za nchi ambazo wote wanapaswa kuziheshimu.
hata kutambuliwa tu kisheria na kuwekwa kwenye katiba ya nchi hizi kadhi courts ni kosa kubwa!! coz jamii kubwa kama wasukuma wana mila zao ambazo wangependa ziingizwe na kutambuliwa kisheria na kikatiba.
Kuitambua mahakama ya kadhi kikatiba ni kuweka ufa katika umoja na mshikamano wa nchi yetu ambao kuja kuuziba huu ufa ni mpaka damu imwagike ndio makosa yaliyofanywa na bunge hili kama yataitambua hiyo mahakama yatadhihiri.
hizo hizo hospital na shule hazijiendeshi kwa faida? je, hiyo faida inamnufaisha mtanzania au taasisi ya kikristo? hiyo faida haizalishwi na kodi zetu kwa asilimia fulani? je hizo kdi zinalipwa na wakristo tu?
Hiyo sheria ya Canon law inayotumiwa na Serikali lini ilikataza waislamu wasiwe na wake wengi dume moja????? Au ulitaka nayo iseme mkateni mikono wale wezi na kupiga watu mawe mpaka kufa kama ilivyo torati!?? Jitafakali sana nchi hii ina wenye dini wengi na Waislamu msijione kuwa mko bora kuliko wengine mpate kaupendeleo fulani tu!
Nchi ikishapata Uhuru wake huja na taratibu zake za kujiendesha, Tanzania baada ya Uhuru iliamua kuwa na Serikali isiyo na Dini ambayo imeongoza vizuri pasipo na tatazo la Udini, hii choko choko ya kupima watu ikipewa nafasi tutakaribisha sumu ya Udini ambayo kuiondoa itachukua mda .