Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,494
- 57,869
Nakujua vizuri wewe ni msabato safi unayependa Haki pamoja na mapungufu yako kama binadamu.
Sidhani kama mnajua picha mnayojenga Mhimili wa Mahakama hasa kwenye kuaminika na kutenda Haki kwa Wananchi na Wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kutokana na mwenendo mliokuwa nao miaka ya hivi karibuni hasa kipindi hichi cha sasa.
Sidhani kama mnaona kama kwa kadri Mhimili wa Mahakama unavyoonesha kuwa compromised basi suala hili linawachochea Wananchi kuanza kufikiria njia sisizo za Kisheria katika kutafuta Haki
Tunaomjua Jaji Hamidu Mwanga hatushangazwi na haya maamuzi yake. Ni mtu wa kujisikia, kupenda kuonyesha ubabe, mdini na Kujifanya yeye ni system na kupenda kukomoa. Hii ni hulka yake na kila siku huwa nashangaa ilikuwaje akawa Jaji. Ni vile tu mifumo yetu ya Vetting imekufa maana kigezo kikuu cha Mtu kuwa Jaji kwenye nchi zenye ustaarabu sio kisomo tu ila ni Hekima na Busara. Nisiende sana huko, hapa leo nazungumzia Kesi anayosimamia dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa Chadema.
Inawezekana mkawa hamuoni bomu mnalolitengeneza mbele, ila ushauri wangu. Itisheni faili la hii kesi anayosimamia Jaji huyu na mfanye mapitio iki kuhakikisha Haki inatendeka kwa Chadema.
Pia soma > GE2025 - Jaji Hamidu Mwanga akataa kujitoa kwenye kesi ya CHADEMA