dazu
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 365
- 76
Miaka takriban minne iliyopita Serikali ilianza mchakato wa ujenzi wa jengo la mahakama kuu mkoani shinyanga. Hata hivyo, ujenzi huo umesimama kwa muda mrefu sasa huku hakuna taarifa rasmi kuhusu sababu za kusimama kwa ujenzi huo. Taarifa zisizo rasmi zinaeleza kwamba, jengo hilo la ghorofa 3 limejengwa chini ya kiwango kiasi cha kuhatarisha maisha ya watumiaji. <?xml:namespace prefix = o ns = "urn:schemas-microsoft-comfficeffice" /><o></o>