Kwanini usingemchomesha kwa Takukuru?hayakukuta au unahusika kwenye dhulma za michongo
Kwanini umeyaita majungu ?Acha majungu
Takukuru ipi ?Kwanini usingemchomesha kwa Takukuru?
Sio majungu itakuwa nikweli,.nyie mbona kutwa mnampiga majungu Samia kwa vitu visivyo vya ukweli?Acha majungu
Kuna muda akili yako inaruka. Hii mada na mama Samia mbona haihusiani?Sio majungu itakuwa nikweli,.nyie mbona kutwa mnampiga majungu Samia kwa vitu visivyo vya ukweli?
Rais anataka haki sana hatukatai lakini kuna watendaji hawafai hata kupewa second chance Namkumbuka sana mkapa alijitahidi kuondoa ondoa watendaji wa aina hii lakini alifanikiwa kwa % ndogo but alioneshaSio majungu itakuwa nikweli,.nyie mbona kutwa mnampiga majungu Samia kwa vitu visivyo vya ukweli?
Wanaita majungu kwa sababu wanajali nafsi zao tukizungumzia kesi za ardhi mahakamani asilimia 60 wanyonge wazee na wasiojiweza wananyanyasika sanaaaa tena sanaKwanini umeyaita majungu ?
Pole mkuu! Hii kesi ya ngedere unampelekea nyani! Makarani ndio wanaotumwa Rushwa na mahakimu na majaji. Hili ninaweza kuthibitisha pasi na shaka.Mheshimiwa Jaji Kiongozi.
Mahakama ni taasisi nyeti sana katika muunganiko wa Mihimili ya Nchi. Lakini inapotokea mfanyakazi mmoja anaichafua Taasisi hiyo inabidi sisi waathirika tuseme kusudi wewe kama kiongozi umuagalie kwa jicho la tatu, huyo karani yupo Mahakama Kuu ya Tanzania (Mwembeni) Dar es Salaam.
Yeye amekuwa akishirikiana na wadaiwa kusudi wadai wasipate haki zao, anaitwa YASSIN MURUKO nafikiri ndio karani wa Msajili Mfawidhi pale Mahakamani, kazi yake kubwa ni kudai rushwa tu wala haogopi, na usipompa faili lako tarehe nyingine halitapatikana anaficha sana mafaili( kwa hili muulize Mh Tiganga anajua). Kuna faili lilifichwa miezi karibu sita (6) hasa mafaili ya Execution.
Amekuwa mtu wa dharau anajiamini sana kiasi ambacho anajiona na yeye Jaji. Ukiwa na maelekezo uchukue kitu kwake basi utaambiwa njoo kesho njoo kesho zimekuwa nyingi sana wala hata hajui kuwa kuna gharama kuja Mahakamani, kuna watu wamekata tamaa kuja Mahakamani kwa sababu yake, naomba umuangalie kwa jicho la tatu utagundua vitu vingi zaidi ya hivi.
Ahsante.
Mimi na waathirika za huduma zake.
Hizi ndizo akili za wapumbavu ambazo taifa linapaswa ipambane nazo!Acha majungu
Sibishani na machokoHizi ndizo akili za wapumbavu ambazo taifa linapaswa ipambane nazo!
KUBWA JINGA
Kesi za Aridhi siku hizi Kama huna pesa ushindi hata kama una ushahidi wote, wajanja wanaangalia dosari ndogo sana ndiyo wanapita nayo hiyo ,wanakunyima haki yako na anapewa mwenye mpunga wake!! Money is very powerful kwenye Mahakama na kwenye mabaraza yetu ya ugawaji wa haki!!Wanaita majungu kwa sababu wanajali nafsi zao tukizungumzia kesi za ardhi mahakamani asilimia 60 wanyonge wazee na wasiojiweza wananyanyasika sanaaaa tena sana