Mahakama Kuu kanda ya Dar yazuia Prof. Lipumba kupewa pesa za Ruzuku

Hizo pesa zipo kweli? Isijekuwa jamaa kishatoa kupitia mlango wa nyuma mana tulisikia wamefungua acount yao Nmb pia naona msukuma kasaidia kidogo.

Mimi nakuwa napata shida Mahkama ya Tz nguvu zake., mara kadhaa nasoma humu kuhusu hizi amri za Mahakama lakini naona utekelezaji hakuna.

Mahakama hii hii kuna siku iliwatambua wale wanachama wa CUF waliofukuzwa Bungeni na kufutiwa uwanachana na Profesa Lipumba lakini mwisho wake wale wabunge wa Lipumba bado wako Bungeni wanavuta hela na spika anawatambua wa Profesa Lipumba

Huu ubabe wa Mahakama ya Tz ni upi?
 
Bii
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam, imemzuia Jaji Francis Mutungi na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa nchini au Wakala wake yeyote yule kutoa fedha za ruzuku za chama cha wananchi CUF na kumpa Lipumba mpaka hapo mashauri ya msingi yanayoendelea mahakamani yatakapo sikilizwa na kutolewa maamuzi.

Maamuzi hayo yametolewa Leo tarehe 29 Mei 2018 na Jaji WILFRED DYANSOBERA katika mahakama hiyo na kusisitiza kuwa maombi ya CUF ya kulinda fedha hizo yana nguvu za kisheria.

Taarifa za chama zinaeleza kuwa hadi amri hii ya mahakama inatolewa, Jaji Mutungi na Ofisi yake ya Msajili wa Vyama imeshamruhusu Lipumba kuchukua zaidi ya Shilingi Bilioni 1.5 na fedha hizo zimekuwa zikiwekwa kwenye akaunti zisizotambuliwa na Bodi Halali ya Udhamini na kisha kuhamishiwa kwenye akaunti za watu binafsi akiwemo Lipumba Mwenyewe.

Shauri juu ya uhalali wa Bodi ya wadhamini linaendelea kusikilizwa na inatarajiwa kuwa shahidi wa tatu wa upande wa Chama ataanza kutoa ushahidi wake mwezi Juni mwaka huu.

=====

TAARIFA KUTOKA MAHAKAMA KUU KANDA YA DAR ES SALAAM KUHUSU MASHAURI YA CUF:

1. MAHAKAMA KUU IMEMPIGA MARUFUKU MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA JAJI MUTUNGI AU WAKALA WAKE YEYOTE KUTOA FEDHA ZA RUZUKU YA CUF KUMPA LIPUMBA NA WENZAKE.

2. WAKILI WA LIPUMBA AIOMBA MAHAKAMA KUU KULIONDOA [WITHDRAW] SHAURI NAMBA 22/2018 WALILOFUNGUA BAADA YA MAAMUZI YA KUZUIA RUZUKU KUTOLEWA.

3. SHAURI LA RITA KUENDELEA TAREHE 7 JUNE, 2018 MAHAKAMA YAMTAKA WAKILI WA SERIKALI KUJIPANGA NA KUACHA VISINGIZIO.

THE CIVIC UNITED FRONT
(CUF- CHAMA CHA WANANCHI)

LEO MBELE YA MHESHIMIWA JAJI WILFRED DYANSOBERA MAHAKAMA KUU Imemzuia Jaji Francis Mutungi [Msajili wa Vyama vya siasa nchini] au Wakala wake yeyote yule KUTOA FEDHA ZA RUZUKU YA THE CIVIC UNITED FRONT (CUF - CHAMA CHA WANANCHI) kumpa Lipumba na wenzake Mpaka hapo mashauri ya msingi yanayoendelea Mahakamani yatakaposikilizwa na kutolewa uamuzi. Maamuzi hayo yametolewa leo Tarehe 29/5/2018 baada ya Maombi yaliyowasilishwa na THE REGISTERED TRUSTEES OF THE CIVIC UNITED FRONT [CUF-Chama Cha Wananchi] na kuwakilishwa na Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara Mhe. Joran Lwehabura Bashange ambaye pia ni Mkurugenzi wa Fedha na Uchumi na Katibu wa Bodi ya Wadhamini HALALI ya CUF.

Mahakama Kuu imeeleza kuwa Hoja zilizowasilishwa na Mhe. Bashange zina NGUVU YA KISHERIA na kwamba Hoja zilizowasilishwa na Wakili Mkuu wa Seriakli Gabriel Malata HAZINA MASHIKO YA KISHERIA na zinapingana na maamuzi na muongozo [The Guiding Principals] zilizotolewa na Mahakama ya Rufaani na Jaji Mkuu wa wakati huo Hon. George.

Katika kusoma uamuzi wake Jaji Wilfred Dyansobera ameeleza sababu Tano zilizozingatiwa katika kufikia uamuzi huo Moja, Zuio la muda halihusiki na kupoteza haki za watu. Pili, Zuio la Muda halimalizi shauri husika. Tatu, Lengo ni kuzuia ugomvu/mgogoro kusambaa zaidi na hasara inayoweza kujitokeza. Nne, Kuhakikisha kuwa Mahakama Inatoa Maamuzi yenye maana mwisho wa shauri [Meaningful Decision] na Tano, Kuzuia Mabadiliko yanayoweza kujitokeza kwani lengo la Mahakama ni Kutoa Haki sahihi kwa Mtu Sahihi.

Mahakama imejiridhisha na kuunga mkono Hoja zilizowahi kutolewa hapo awali za Msajili wa Vyama vya siasa nchini katika Barua yake ya Tarehe 10 Oktoba, 2016 iliyoelezea sababu za kuzuia kutoa Ruzuku hiyo kwa CUF ambazo kimsingi mpaka sasa bado zinajitosheleza [Valid]. NI KWA MSINGI HUO. MAHAKAMA KUU IMETOA AMRI YA ZUIO HILO MPAKA SHAURI LA MSINGI LITAKAPOMALIZIKA NA AU MAHAKAMA KUTOA MAELEKEZO VINGINEVYO. MAHAKAMA IPO KATIKA UCHUNGUZI WA KUJUA NI VYOMBO VIPI VYA MAAMUZI NDANI YA CUF [BODI YA WADHAMINI NA BARAZA KUU LA UONGOZI LA TAIFA] NI HALALI NA NDIVYO VINAVYOPASWA KUENDESHA SHUGHULI ZA CUF KWA MUJIBU WA KATIBA YA CUF NA SHERIA ZA NCHI.

Katika Shauri hili Namba 80/2017 kati Bodi ya Wadhamini ya CUF [Mheshimiwa Bashange-Applicant] na upande wa pili Msajili wa Vyama na Mwanasheria Mkuu wa Serikali [Wadaawa-Respondents], Mhe. Bashange ameiomba Mahakama Kuu kuzuia Fedha za Serikali ambazo ni Ruzuku ya CUF kutapanywa Hovyo kwa watu wasiohusika na kushindwa KUDHIBITI MATUMIZI YAKE NA UKAGUZI KWA MUJIBU WA SHERIA NA TARATIBU ZA FEDHA ZA SERIKALI KUPITIA OFISI YA CAG.

HUU NI USHINDI MKUBWA KWA CUF TAASISI KUTOKANA NA NJAMA NA NIA OVU ILIYOKUWEPO KATI YA WASHIRIKA WATATU [1. JAJI MUTUNGI, 2. BENKI KUU+NMB BENKI NA 3. LIPUMBA NA WASHIRIKA WAKE].

Itakumbukwa kuwa hivi karibuni Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad alimuandikia barua Gavana wa Benki Kuu kumtaka kurejesha fedha za CUF zilizochukuliwa katika Akaunti yake kiasi cha Tshs Milioni 76 bila kuzingatia sheria, Taratibu na Kanuni za miamala ya Fedha [Banking Transactions System].

Shauri La Msingi limepangwa kutajwa Tarehe 3 July, 2018 na litasikilizwa kwa njia ya Maandishi [Written Submission].

Wakati huohuo Wakili wa Lipumba Ndugu Mfuru ameiomba Mahakama Kuu kuliondoa shauri lao Namba 22/2018 ambalo waliomba kuingizwa katika shauri hili ambalo Mahakama Kuu tayari imeshalitolea maamuzi. Maombi hayo yalikuja Baada ya Jaji Dyansobera kuwahoji Mawakili wa Lipumba kama bado wana nia ya kuendelea na Maombi hayo waliyoyawasilisha Mahakamani? Mahakama imeliondoa shauri hilo bila gharama.

Aidha, Shauri la RITA Namba 13/2017 litaendelea kusikilizwa Tarehe 7 June, 2018. Awali wakili msaidizi wa Serikali aliomba kuahirishwa kwa shauri hilo kwa kuwa Wakili Mkuu wa Serikali Gabriel Malata Hakuwepo Mahakamani. Jambo ambalo lilipingwa na Mawakili wa CUF na Mahakama imeeleza kuwa inaiharisha shauri hilo kwa sababu za kimazingira [Convenience Purpose] na sio kwa sababu Malata Hayupo. Suala la kuendelea na shauri hilo kwa ratiba iliyopangwa na Mahakama halina mjadala na tayari Mahakama ilishalitolea maamuzi, Ofisi ya AG na RITA wanapaswa kujipanga kuendelea bila kumtegemea Wakili mmoja pekee.

CUF NI TAASISI IMARA, YENYE VIONGOZI MAKINI. [THE NEW, STRONG AND VIBRANT CUF IS COMING BACK SOON. BE PREPARED].

HAKI SAWA KWA WOTE

Imetolewa Leo Tarehe 29/5/2018 na Kurugenzi ya Habari;

SALIM BIMANI
MKURUGENZI -MHUMU
hii ni taarifa ya upande moja ambao wapo ktk kesi tunataka ya kutoka mahakamani
 
CCM imekwama tena
 
Mahakama Kuu ya Tanzania, mbele ya Jaji WILFRED DYANSOBERA imemzuia Jaji Mutungi na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa nchini na au Wakala wake yeyote yule kutoa fedha za ruzuku za THE CIVIC UNITED FRONT (CUF - CHAMA CHA WANANCHI) na kumpa Lipumba mpaka hapo mashauri ya msingi yanayoendelea mahakamani yatakapo sikilizwa na kutolewa maamuzi.

Maamuzi hayo yametolewa Leo tarehe 29 Mei 2018 na mahakama imesisitiza kuwa maombi ya CUF kulinda fedha hizo yana nguvu za kisheria.

Hadi Amri inatolewa, Jaji Mutungi na Ofisi yake (Msajili wa Vyama) imeshampa Lipumba zaidi ya Shilingi Bilioni 1.5 (Milioni 1,500) na fedha hizo zimekuwa zikiwekwa kwenye akaunti zisizotambuliwa na Bodi Halali ya Udhamini na kisha kuhamishiwa kwenye akaunti za watu binafsi akiwemo Lipumba Mwenyewe.

Shauri juu ya uhalali wa Bodi ya wadhamini linaendelea kusikilizwa na inatarajiwa kuwa shahidi wa tatu wa upande wa Chama ataanza kutoa ushahidi wake mwezi Juni na baada ya hapo tutajua mwelekeo.

Mtatiro J
 
safi sana.

wapinzani mkiufanyia ushauri wa kutumia judiciary katika kudai haki nawahakikishia mtaweza kufanikiwa kwa kiasi kikubwa. advantages zina outweigh disadvantages..
 
Back
Top Bottom