Sasa kwa sisi waumini tusioielewa hiyo lugha kiingereza tufanyeje ili kujua kinachomsibu mtume na nabii wetu?
Aiseeee!!!
Sasa kwa sisi waumini tusioielewa hiyo lugha kiingereza tufanyeje ili kujua kinachomsibu mtume na nabii wetu?
Mngoni mpe pesa atafikisha lakini sio mwanamke...! (watani zangu hawa) bombi hii nyumbi hii, pali pali pa' mfaranyaki..!
Ni kweli, mkuu hiki ni kiingereza cha kisheria wengi pamoja na mimi watatoka patupu.
Hakuna dhambi mchungaji akila mikia ya kondoo wake
ni watu kama watu wengine tuhawa watumishi hawa...kwanini watuhumiwe,?...daaah
Mbona umeiandika kimahaba sana au huyo mlalamikaji ni mume wako mpya maana sioni wapi mahakama imesema akapime DNA. Kesi haijaisha wewe unaandika umbea hapa kwamba kaambiwa akapime DNA.
Acheni umbea, andikeni habari kamili sio kuandika mahaba ya hawala yako hapa.
Labda huyu mungu wake maono anayompa ni kuchukua wake zawatu! hehehehe! hawa miungu wa dukani nao...!! ni sheedah !!