Mahakama kutoa hukumu kesi ya Manji kesho

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,512
Manji+pic.jpg

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kesho inatarajiwa kutoa hukumu katika kesi ya kutumia dawa za kulevya inayomkabili mfanyabiashara maarufu, Yusuf Manji (41).

Hukumu inatarajia kutolewa kesho Ijumaa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Cyprian Mkeha baada ya upande wa mashtaka na wa utetezi kufunga ushahidi.

Katika kesi hiyo, upande wa utetezi ulikuwa na mashahidi saba na wa mashtaka ulikuwa na mashahidi watatu.

Awali, Manji kupitia wakili wake Hajra Mungula aliieleza Mahakama kwamba angekuwa na mashahidi 15.

Katika kesi hiyo, Manji anadaiwa kati ya Februari 6 na 9, eneo la Sea View, Upanga wilayani Ilala alitumia dawa za kulevya aina ya heroin.

Ushahidi wa upande wa utetezi mahakamani unaonyesha Manji ana vyuma kwenye moyo.

Mfanyabiashara huyo katika utetezi wake alidai ana matatizo ya moyo ya kurithi kutoka kwa babu zake na alianza kuugua akiwa na miaka 26.

Mwananchi
 
Wanahangaika na visasi kumfurahisha Faru Sizo.....attention yote hiyo kutumia madawa? Mateja wamejaa mitaani humu.....mbona hawahangaiki nao??
 
hahaha wewe .........................!!!!!!
teja namba moko ni yule kijana aliyesema atagombea ubunge wa kinondoni na ni pete na kidole ya ........................

hajakamatwa hakamatwi na wanakula na kunywa naye kila siku

Manji+pic.jpg

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kesho inatarajiwa kutoa hukumu katika kesi ya kutumia dawa za kulevya inayomkabili mfanyabiashara maarufu, Yusuf Manji (41).

Hukumu inatarajia kutolewa kesho Ijumaa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Cyprian Mkeha baada ya upande wa mashtaka na wa utetezi kufunga ushahidi.

Katika kesi hiyo, upande wa utetezi ulikuwa na mashahidi saba na wa mashtaka ulikuwa na mashahidi watatu.

Awali, Manji kupitia wakili wake Hajra Mungula aliieleza Mahakama kwamba angekuwa na mashahidi 15.

Katika kesi hiyo, Manji anadaiwa kati ya Februari 6 na 9, eneo la Sea View, Upanga wilayani Ilala alitumia dawa za kulevya aina ya heroin.

Ushahidi wa upande wa utetezi mahakamani unaonyesha Manji ana vyuma kwenye moyo.

Mfanyabiashara huyo katika utetezi wake alidai ana matatizo ya moyo ya kurithi kutoka kwa babu zake na alianza kuugua akiwa na miaka 26.

Mwananchi
Kesi za majungu hizo, utaniambia itapigwa chini maana lengo ilikuwa ni kumkomoa, kumuaibisha na kumtia hofu
 
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kesho inatarajiwa kutoa hukumu katika kesi ya kutumia dawa za kulevya inayomkabili mfanyabiashara maarufu, Yusuf Manji (41).
Hukumu inatarajia kutolewa kesho Ijumaa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Cyprian Mkeha baada ya upande wa mashtaka na wa utetezi kufunga ushahidi.
Katika kesi hiyo, upande wa utetezi ulikuwa na mashahidi saba na wa mashtaka ulikuwa na mashahidi watatu.
Awali, Manji kupitia wakili wake Hajra Mungula aliieleza Mahakama kwamba angekuwa na mashahidi 15.
Katika kesi hiyo, Manji anadaiwa kati ya Februari 6 na 9, eneo la Sea View, Upanga wilayani Ilala alitumia dawa za kulevya aina ya heroin.
Ushahidi wa upande wa utetezi mahakamani unaonyesha Manji ana vyuma kwenye moyo.
Mfanyabiashara huyo katika utetezi wake alidai ana matatizo ya moyo ya kurithi kutoka kwa babu zake na alianza kuugua akiwa na miaka 26.

credit:mwananchi
 
Back
Top Bottom