Mahakama kuamua kesi ya Kinana leo

Mahakama kuamua kesi ya Kinana leo

Mkuu!
Usichanganye SHERIA na MAONI!Wewe ukiyo andika hapa ni maoni sio sheria inavyosema!

Sheria za kesi ya kashfa zipo wazi kabisa wapi zikafunguliwe kesi🙁1) Sehemu ambapo tukio lilitokea(Mwanza) au makazi ya kudumu ya mtoa kashfa(Iringa)!

Kinana anataka kuivuta kesi hii hadi uchaguzi wa 2015 ili isiweze kuongelewa tena Mahakamani kwa ground kuwa shauri bado lipo kwenye kusikilizwa!

Bill of Lading ya meli ambazo Kinana ana hisa zitamaliza kesi hii!

Kama tatizo nila Kinana, kwa nini Msigwa ameweka pingamizi badala ya kuiacha mahakama kuamua hivyo.

Huoni Msigwa kuweka pingamizi ndiyo anasababisha kupoteza muda na kwa maana hii anamsaidia Kinana katika malengo yake kana unavyosema. Kwa hiyo msigwa amehongwa ili kuweka pingamizi kumsaidia Kinana kununua muda mpaka election 2015
 
Msigwa MB haijaikwepa kesi hii!

Kesi ikifutwa Kinana atafungua upya ama Iringa nyumbani kwa Msigwa au Mwanza sehemu aliyo yasema haya maneno!

Sheria za defemation ndiyo zinavyosema!

swadakta .
 
Ukitaka Kujua Muongo wa siasa ni kama Msigwa, Huyu Bw anatafuta Umaarufu kwa njia za kipoumbavu na zisizo na manufaa yeyote, ni mjinga wa hali ya juu sana, kwani ametumika na Dr Slaa katika hili na akaahidiwa ya kuwa aseme hivyo na atapewa ushahidi, Mpaka leo hajapewa ushahidi. Kinana anasingiziwa na yote haya ni ya uongo, mahakama hiyo hiyo ambayo mnaipenda inapo waachia huru wana CDM wanapopandikizwa mijikesi na polisi na kuishaingilia inapotoa uamuzi wa haki wakati wenu na leo itatoa hukumu ya haki kwenye kesi hii.

Basi Msigwa akishundwa au kuonekana na hatia msije na papara za kesi imechakachuliwa, kaonewa, kuna mkono wa ccm, Rais kaingilia, Kinana kamhonga jaji na kamuahidi Ubunge nk...............

Kueni wapenda haki

UNAMFAHAMU VIZURI KINANA ? UNAFAHAMU KWAMBA ANAMILIKI meli ? kama HUYAJUI HAYA KAA KIMYA , TENA KIMYA SANA ! UNAJUA KINACHOENDELEA KWENYE YALE MENO YA TEMBO YALIYOKAMATWA ZANZIBAR ?
 
Huyu msigwa kumbaff kabisa. Sokomoko kalianzisha mwenyewe sasa kimenuka anakimbilia kwenye technicality issues badala ya kupambana kwa hoja alizoanzisha mwenyewe. Huyu ndio tutegemee ajenge hoja ya maana bungeni kweli?? Ama kweli tuna safari ndefu kama nchi.

Hivi huwa unafikilia kwa kutumia nini?
 
Sasa huyu Msigwa kama kweli anao ushahidi kwa nini anajificha kwenye case technicality ili kesi ifutwe?.

Haoni kuwa hii ndiyo ilikuwa nafasi ya yeye kuyasema machafu yote mbele ya mahakama na wananchi wakauona na kuusikia ushahidi wake.

Huyu Msigwa hana ushahidi wowote na kama angekuwa nao basi asingeliweka pingamizi ili kesi yake ifutwe kabla ya kusikilizwa kwa sababu eti haikufunguliwa Mwanza au Iringa.

Tunachotaka sisi wananchi ni kusikia ushahidi wa tuhuma zake mahakamani na siyo kutaka kujificha kwenye ujanja wa kisheria ambao utatufanya tusisikie ushahidi wowote.


Mkuu kukiuka technicalities kwako sio issue? Kanuni na taratibu kukiukwa sio tatizo kweli? Msigwa anasema kesi ikafunguliwe Mwanza au Iringa wala hajakimbia kesi. Hebu tuwe serious; haishangazi kwa aian hii ya arguments ni kwanini kwa zaidi ya miaka 50 bado tunapiga maktaimu kama taifa.
 
Kwanini unafikiri Kinana kafungulia kesi Dar badala ya Iringa au Mwanza? Unafikiri na kuamini kuwa hilo jambo muhimu la kisheria bwana Kinana na wakili wake hawakulijua toka mapema? mwambieni aache zuga za kisiasa na hii ni maksudi ambayo yaonyesha kuwa hakuwa serious ya kutaka kesi isikilizwe ama au anataka kumpa ujiko wa bure huyo Muruke wenu

Atii!?
 
Judge ashapewa maelekezo tayari

cdm ina kazi kupambana na ujangili maana mtandao umeene mpaka ikulu ndo maana twiga wanasafirishwa hamna mtu wa kuzuia,duh ,lkn sasa Magufuli jembe letu ameingia UTALII kwahiyo bomoa bomoa ujangili sasa yanukia tz
 
Uamuzi wa Jaji utilie maanani maslahi ya taifa na hasa tembo na faru wetu
 
Mkuu kukiuka technicalities kwako sio issue? Kanuni na taratibu kukiukwa sio tatizo kweli? Msigwa anasema kesi ikafunguliwe Mwanza au Iringa wala hajakimbia kesi. Hebu tuwe serious; haishangazi kwa aian hii ya arguments ni kwanini kwa zaidi ya miaka 50 bado tunapiga maktaimu kama taifa.

Dudus kama una uhakika wa kushinda mechi haijalishi ugenini wala nyumbani........Msigwa amchane tu ili tupate ukweli la sivyo kaweka mpira kwapani.................hii hatoki ni hali mfululizo....na hapa ndipo wananchi wanaamini ulaghai wa Chadema.
 
Wanasheria tuambieni, ikukutwa siraha nyumbani kwako au kwenye gari lako, wewe mmiliki huna kesi ya kujibu?
 
kwa nini Msigwa ameweka pingamizi badala ya kuiacha mahakama kuamua hivyo.

Mahakama haiwezi kuamua kuwa kesi imefunguliwa kwenye sehemu ambayo siyo, unless mlalamikiwa aiombe ifanye hivyo.

Tunafuata adversarial system na siyo inquisitorial system. Kwa system tunayofuata, judge anakuwa ni refa tuu.
 
Dudus kama una uhakika wa kushinda mechi haijalishi ugenini wala nyumbani........Msigwa amchane tu ili tupate ukweli la sivyo kaweka mpira kwapani.................hii hatoki ni hali mfululizo....na hapa ndipo wananchi wanaamini ulaghai wa Chadema.

Post kama hii inaonyesha jinsi watu wengi kwenye nchi wanavyopenda mambo kufanywa kiholela bila kufuata taratibu na sheria.

Halafu watu hao hao wanalilia uwepo wa utawala wa sheria.

Both procedural and substantive laws must be followed hata kama kutokufuatwa kwake kutaku-favour wewe.
 
Kiherehere Mch wa nguruwe kitamwisha sasa na 2015 ubunge hana
 
Tumuombe mwenyezi mungu ili mchungaji Msigwa ashinde pingamizi dhidi ya majangiri
sio tumuombe mungu ashinda kesi bali aueleze umma kile alichokuwa akihubiri majukwaani kupitia mahakama juu ya ujangili wa Kinana, na sio hizi huruma mnazozitaka. binafsi napenda majangili yatokomezwe ila sio kila mtu akiamka asubuhi ni kujitajia tu majina ya watu kama kalewa viroba.
NARUDIA; mchungaji peter aueleze umma juu ya ujangili wa kinana ili akipita mitaani tumzomee hata kama hatafungwa.
 
Back
Top Bottom