Viongozi wa chadema wamezoea kujiuza,mbowe na genge lake walitaja mafisadi,halafu wakapanga foleni kwenda kuomba misaada,na kisha wakarudi kukiambia chama chao wanakikopesha,na chadema ikalipa,sasa naibu katibu mkuu peter msigwa,anadhani atafanya biashara ya pesa na kinana,kwa akili ya magenge ya wahuni wa chadema,nasema magenge maana ni kusanyiko la kila character,wezi wa magari,matapeli na kila aina ya ubaka,wanadhani kwa kumchafua kinana watapata chochote,mh.mkono anajua bei ya mbowe,slaa,lema,na waganga njaa wote wa chadema,na kesi hii,msigwa ataumbuka na uchungaji wake.