wahalifu wote ni muhimu wakashikishwa adabu kwa mujibu wa sheria, licha ya mayowe yao ya kutafuta huruma

Mahakama ipo kwaajili ya maslahi ya baba, mke na mtoto
Hiyo kesi itaingia kwenye vitabu vya kumbumumbu namna vile udhalimu unavyoweza kuingilia na kupindisha haki bila hofu
So, this is what they call Kangaroo court?
Kibatala alikuwa anazungumza na mteja wake Tundu Lissu katika mazingira haya yaliyomfanya atoe machozi kwa hisia leo akiongea na waandishi wa habari:
- Mazingira ya gereza la Ukonga yanapoka haki za msingi za kisheria za Tundu Lissu
- Baraza la Umoja wa Mataifa UNGA azimio namba 61 almaarufu The Nelson Mandela Rules juu ya haki za mahabusu kama Tundu Lissuna wafungwa zinasemaje
Yaan ww una shida sana!!Pole sana!!Inaonekana Kama sio chawa wa kububujikwa machozi basi na ww upo bungeni ki familia!Lakin sisi tuna philosophy kuwa kila mwanza mwisho pia upo:Ila unateseka kutetea uôngo!!Au una matatizo ya akili!!!wahalifu wote ni muhimu wakashikishwa adabu kwa mujibu wa sheria, licha ya mayowe yao ya kutafuta huruma![]()
Qmmk!wahalifu wote ni muhimu wakashikishwa adabu kwa mujibu wa sheria, licha ya mayowe yao ya kutafuta huruma![]()
relax ndugu mporomosha matusi kutoka sombetiniQmmk!

wajibu wangu ni kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu gentleman,Yaan ww una shida sana!!Pole sana!!Inaonekana Kama sio chawa wa kububujikwa machozi basi na ww upo bungeni ki familia!Lakin sisi tuna philosophy kuwa kila mwanza mwisho pia upo:Ila unateseka kutetea uôngo!!Au una matatizo ya akili!!!

Huku msajili wa vyama akibana makalio ili shu...zi lisitokeHiyo kesi itaingia kwenye vitabu vya kumbumumbu namna vile udhalimu unavyoweza kuingilia na kupindisha haki bila hofu
Dunia ya werevu, wananchi ndani ya nchi na wadau wa kimataifa wanaviangalia vituko vyote vinavyoendelea kufanywa na watawala pamoja na vyombo vyake.
Waliopewa dhamana vya utawala bora wanatakiwa wastuke na kutambua wanaangaliwa kwa ukaribu njama zao zote toka awama 5 hadi ya sasa awamu ya 6.
Vitendo vyao hivyo vitaendelea kuwasumbua bila kukoma ikiwa hawatazungatia utawala bora wenye kuzingatia haki, sheria na utu wa mtu.
TUHUMA ZA JAMHURI KTK KESI YA TUNDU LISSU KUSHTAKIWA KWA UHAINI, ZINAKUMBUSHA RIWAYA YA THE TRIAL
riwaya ya The Trial iliyoandikwa na Franz Kafka ikachapishwa mara ya kwanza mwaka 1925, mtuhumiwa Josef K. ni mfanyakazi wa Bank akituhumiwa kwa kosa la jinai, lakini wanaomtuhumu hawamwambii kwa uhalisia aina la kosa lake, wanasheria wa serikali wanajifanya hamnazo wakiendesha mashtaka huku mtuhumiwa anakumbana na mfumo wa haki jinai ulivyosukwa ...
View: https://m.youtube.com/watch?v=DLp_AdCinxI
The Trial is a novel written by Franz Kafka but not published until 1925 after the author's death. In the novel, Josef K. is a bank worker accused of a crime, but he is never told the nature of his crime and must navigate a seemingly impossible legal system to save himself.
Short story: In the Penal Colony:
Justice is one of the oldest philosophical virtues and topics. It was singled out by Plato as one of the highest questions philosophers could ask. But what about when the psychology of justice gets perverted. What about when we commit horrific and cruel acts all in the name of justice. Well that is just what Kafka explores in his landmark short story: In the Penal Colony.
View: https://m.youtube.com/watch?v=OXvjWtz3j_E
asante kwa narration safi
Usihoji sana ,Hakimu alisema ,pale sio sehemu ya Hukum bali mahakama kuu ,nakuongeza kuwa naye atakua amepumua kesi ikienda huko ,so wafikiri alisema atakua amepua kwa kwa lipi? Jiulize na changanya na za kwako
kama alisema hivyo, anapumua kwa kuwa hatakuwa na mashinikizi ya Lisu kutoka kwa samiaUsihoji sana ,Hakimu alisema ,pale sio sehemu ya Hukum bali mahakama kuu ,nakuongeza kuwa naye atakua amepumua kesi ikienda huko ,so wafikiri alisema atakua amepua kwa kwa lipi? Jiulize na changanya na za kwako
hizi mahakama sio kwa ajili ya lissu tu mimi na wewe na yeyote yule ipo siku yatatukuta hapo utaona udhaifu wa mahakama, wanaopiga kelele kuwa lissu aachiliwe sio wote ni wafuasi wake ila kinacho tafutwa ni haki hata baadhi ya wana ccm wanataka haki itendeke kwasababu kwenye hii nchi hakuna alie salama, elf 3000 za posho unazopewa zisikufanye uone kama upo juu ya kila kitu simamia kweli hauta aibikawajibu wangu ni kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu gentleman,
hizo porojo nyingine nonsense sina haja nazo![]()
Sina jibu mkuu ila alisemakama alisema hivyo, anapumua kwa kuwa hatakuwa na mashinikizi ya Lisu kutoka kwa samia
uko sahihi kabisa gentleman,hizi mahakama sio kwa ajili ya lissu tu mimi na wewe na yeyote yule ipo siku yatatukuta hapo utaona udhaifu wa mahakama, wanaopiga kelele kuwa lissu aachiliwe sio wote ni wafuasi wake ila kinacho tafutwa ni haki hata baadhi ya wana ccm wanataka haki itendeke kwasababu kwenye hii nchi hakuna alie salama, elf 3000 za posho unazopewa zisikufanye uone kama upo juu ya kila kitu simamia kweli hauta aibika
