Mahafali ya Zanzibar University 23 Jan 2012

Barubaru

JF-Expert Member
Apr 6, 2009
7,161
2,323
Wanajamii.

Nimeletewa mwaliko wa kunijuza kuwa Kesho taarih 23 Jan 2012 kutakuwa na Mahafali katika Chuo Kikuu cha Zanziba (Tunguu) na mgeni rasmi atakuwa Rais wa SUK Mh Dr Alli Moh'd Shein.

Kwa kuwa sitaweza kuhudhulia naomba mlioko Znz mtujuze zaidi na kutuwekea Picha za mahafali hiyo. Kwani wengine ni wadau wakubwa sana wa uanzishwaji wa Chuo Hicho.
 
Mimi ni mwanafunzi pale.chuo kikuu cha zanzibar kilifana sana kwenye mahafali yake.chuo bora jaman karibuni.
 
Back
Top Bottom