Zikomo Songea
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 670
- 582
Inawezekana tatizo lako ni majibu ya kukariri.Wenye akili timamu wameshaona tatizo.Acha kubwabwaja.
Inawezekana tatizo lako ni majibu ya kukariri.Wenye akili timamu wameshaona tatizo.Acha kubwabwaja.
Nimesoma mkuu lakini hiyo asilimia unajua imekojotoleqa kutokana na idadi ipi? Hapo ndipo ninapoona kuwa bado hatuwezi kuhitimisha kuwa ni ubatili.
Andika kiswahili basi kwa vile umekomaa kubishana, au nawe ni mmoja wa wandishi wa tangazo japo sijalisoma.... "imekojotoleqa" ndo unamaanisha nini...?Nimesoma mkuu lakini hiyo asilimia unajua imekojotoleqa kutokana na idadi ipi? Hapo ndipo ninapoona kuwa bado hatuwezi kuhitimisha kuwa ni ubatili.