Mahafali UDOM

iphoneman

Member
Oct 16, 2011
37
2
Leo tar. 25 na kesho tar 26 kutakuwa na mahafali ya pili ya chuo kikuu cha Dodoma, hongera kwa wahitimu wote na watu wote mnakarbshwa.
Changamoto; Je, elimu itolewayo inakidhi mahitaji ya soko la ajira na utendaji kazi wa wahitimu ofisini?
 
Kuna ubwabwa nije pande hizo? Hongereni kwa kuhitimu.
Jibu la changamoto linaweza kuwa ndio au hapana ila na nyie wahitimu mmejiandaa vipi kukabiliana na soko la ajira?
 
Ebwana nawatakia kila la kheri..
Jamii inawahitaji sana.
 
Kuna ubwabwa nije pande hizo? Hongereni kwa kuhitimu.
Jibu la changamoto linaweza kuwa ndio au hapana ila na nyie wahitimu mmejiandaa vipi kukabiliana na soko la ajira?

njoo univike taji husninyo. Pia usisahau kunilete mvinyo wa mpwapwa!
 
Kuna ubwabwa nije pande hizo? Hongereni kwa kuhitimu.
Jibu la changamoto linaweza kuwa ndio au hapana ila na nyie wahitimu mmejiandaa vipi kukabiliana na soko la ajira?

hilo ndio suala gumu zaidi sababu wengi wa wanachuo wanasoma kupata cheti ila sio kupata elimu ya ujuzi, pia bado elimu ya hapa sio ya kiwango cha juu ukilinganisha na vyuo vingine kama SUA na UDSM
 
Hongereni sana MUNGU mwenyezi awaangazie ili muwe kielelezo nambari moja kwenye kila jambo lifanywalo na mtu mwenye elimu bila kujali wingi wenu.
 
Leo tar. 25 na kesho tar 26 kutakuwa na mahafali ya pili ya chuo kikuu cha Dodoma, hongera kwa wahitimu wote na watu wote mnakarbshwa.
Changamoto; Je, elimu itolewayo inakidhi mahitaji ya soko la ajira na utendaji kazi wa wahitimu ofisini?

Upande mmoja tunalalamika hakuna pesa ya kuendesha vyuo, wakati huo huo tunajiongezea gharama zisizo na lazima kufanya sherehe 2 za mahafali badala ya mahafali 1...
 
Acha uf**a kwa hiyo wacngefanya sherehe kwan c 1 ya ma2miz ya chuo kwa hiyo wakisema hakuna pesa pia wamejumlisha na mahafali.
 
Back
Top Bottom