Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,112
- 4,335
Hii shule sijui ada ni kiasi gani lakini wahitimu wa kidato cha nne 2025 ndio hao watano tu!
Al HaramainPhysical appearance ya wanafunzi ina-depict something like 💵💵💵
Hii shule sijui ada ni kiasi gani lakini wahitimu wa kidato cha nne 2025 ndio hao watano tu!View attachment 3490564View attachment 3490565
www.instagram.com
Hizi shule watoto huwa wanamaliza wakiwa wadogo. Hao. Usikute ni 14-16 years. Hiyo mirasta ndio huwa inawakomaza suraHao ni FORM FOO au MAJIMAMA YA QT?
inafundisha nini cha ajabu ambacho hakifundishwi katika shule zingineAchana na ada na hiyo shule, kwa mwaka ni 40m - 60m.
50,000 ya kumpa mwanao wa kike/mkeo/demu wako/mama yako huna hasira unazimalizia kwa watoto wa watu!Haya itakuwa ni majimama ya QT