Mahacker waiharibu website ya profesa jay.....tembelea ujionee mwenyewe...!!

Mahacker waiharibu website ya profesa jay.....tembelea ujionee mwenyewe...!!

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741

Watu wanaosadikika kuwa ni wahuni wa kitechnolojia wameonekana kutenda mambo yao katika Official website ya Daddy wa muziki wa rap Tanzania, Proffesa Jay [url]http://www.professorjaytz.com/[/URL] ambayo kwa mujibu wake mwenyewe, site hii ilikuwa bado ipo katika matengenezo na kuna mtu maalum ambaye alikuwa amemuasign kazi ya kuitengeneza.

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Hivi ndivyo site ya msanii huyu inavyoonekana kwa sasa;[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Prof+J.JPG

Jay mwenyewe ambaye hadi wakati tuliokuwa tunaongea naye alikuwa hafahamu kuhusiana na kutokea kwa issue hii, amewaahidi mashabiki wake kulifuatilia swala hili na kuhakikisha anaweka kila kitu katika mstari.

Rapa huyu mchana wa leo atakuwa akitoa Burudani pande za Chuo kikuu Cha Dar es Salaam katika Kongamano maarufu la Kigoda Cha Mwalimu Nyerere kwa mwaka huu, Kongamano ambalo limeanza jana na linatarajiwa kuisha siku ya kesho likiwa na kauli mbiu 'Maendeleo ni Mapambano ya Ukombozi'.
MAHACKER WAIHARIBU WEBSITE YA PROFESA JAY.....TEMBELEA UJIONEE MWENYEWE...!! - GUMZO LA JIJI mkuu.@C6




 
mkuu aliufunga uzi kama baada ya kuona wadau wanaenda kusiko afu we mzee MziziMkavu unataka kumchokoza invi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom