Mahaba ya CHADEMA yamelenga biashara sio siasa

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,999
Ukiwa mwenye kumbukumbu utagundua mahaba ya makadanda kwa Manji yamechagizwa na njaa ya akili na tumboni. Kumbuka alivyofanyiwa Lowassa.

Vijana wengi wanajiita basichaa kwa sasa wamefungua vinywa wakijinadi kama "wasafishaji".

Waandishi nguli wa habari za uchunguzi sasa wapo tayari kukana yote walivyowahi kuandika dhidi ya Manji kwa kukana vielelezo ya awali.

Aha ha ha hapo chamani sasa watu wapo tayari kwa kufanya muamala wa haja endpo tu dau linawekwa mezani.

Akili kumkichwa.
 
5b081eb96966f7c1f6100452bb34d25b.jpg
 
Umeandika nini hapa
 
Ccm hatari, hata vibinti vidogo roho mbaya kama shetani! Au ndiyo yale ya kuambiwa mtaishi kama shetani basi hata kufikiri kama shetani?
Manji ni diwani wenu, katoa ajira zaidi ya elfu tano. Akikosa anasemwa lakini akionewa anatetewa. Wewe mabwana zako kumchukia Manji basi hutaki wengine wamtetee? Mbunge gani wewe kikaragosi namna hii?
 
Edo kawashitukia sasa mnamdenda Kanjibai
 
Ukiwa mwenye kumbukumbu utagundua mahaba ya makadanda kwa Manji yamechagizwa na njaa ya akili na tumboni. Kumbuka alivyofanyiwa Lowassa.

Vijana wengi wanajiita basichaa kwa sasa wamefungua vinywa wakijinadi kama "wasafishaji".

Waandishi nguli wa habari za uchunguzi sasa wapo tayari kukana yote walivyowahi kuandika dhidi ya Manji kwa kukana vielelezo ya awali.

Aha ha ha hapo chamani sasa watu wapo tayari kwa kufanya muamala wa haja endpo tu dau linawekwa mezani.

Akili kumkichwa.
Huna akili kabisa ,Tanzania ya sasa ina step kutoka kwenye umasikini kwenda kwenye ufukara. Tuna shida sana kipindi hiki kuliko vipindi vya uongozi wowote Tz na hatuwezi kusikiliza propaganda zenu tena , bora kuchagua jiwe kuliko CCM kama mhusika anafikiria vizuri na ana akili timamu.
 
Hujawahi kupanga foleni ya sukari kuanzia tisa za usiku.

Hujawahi kuishi Tanzania iliyokuwa masikini wa mwisho duniani.

Usiongee usivyovijuwa.
 
Aisee andishi lako haileweki , ebu tafuta mtu akuelekeze labda ulikuwa na point ya maana.
 
Hujawahi kupanga foleni ya sukari kuanzia tisa za usiku.

Hujawahi kuishi Tanzania iliyokuwa masikini wa mwisho duniani.

Usiongee usivyovijuwa.
Kwahiyo unataka tukaishi huko au? Nenda kaishi peke yako maisha hayo, tushapita. Unafanana na mzazi anayelinganisha maisha aliyoishi yeye miaka ya 40 kwenda kusoma chini ya muembe na miaka hii?
 
Soma huu uongo alioandika nyumbu mwenzio:

"Tuna shida sana kipindi hiki kuliko vipindi vya uongozi wowote Tz".

My take, kama umezowea kuishi kwa ujanja-ujanja lazima uone shida wakati huu wa kuishi kihalali.
 
Huna akili kabisa ,Tanzania ya sasa ina step kutoka kwenye umasikini kwenda kwenye ufukara. Tuna shida sana kipindi hiki kuliko vipindi vya uongozi wowote Tz na hatuwezi kusikiliza propaganda zenu tena , bora kuchagua jiwe kuliko CCM kama mhusika anafikiria vizuri na ana akili timamu.
Baadhi ya nyie watoto wa 90s huwa mnaandika utumbo sana. We unga wa yanga unaujua, ushaona mtu kavaa kaniki na unajua kuwa ufundi viraka ilikuwa kazi maarufu sana??
 
Huna akili kabisa ,Tanzania ya sasa ina step kutoka kwenye umasikini kwenda kwenye ufukara. Tuna shida sana kipindi hiki kuliko vipindi vya uongozi wowote Tz na hatuwezi kusikiliza propaganda zenu tena , bora kuchagua jiwe kuliko CCM kama mhusika anafikiria vizuri na ana akili timamu.

Toka hapa. Usilete maneno una shida weee upo hapa sijui ushapata kitu unaropoka unajua shida wewe. Sema mission town zinakwama nini ambacho ulikuwa unafanya sasa huwezi fanya. Sema hapa wewe acha barua ndefu na ujumla usio na tija. Shida afu uko hapa mtandaoni. Una simu. Una vocha ahhh
 
Soma huu uongo alioandika nyumbu mwenzio:

"Tuna shida sana kipindi hiki kuliko vipindi vya uongozi wowote Tz".

My take, kama umezowea kuishi kwa ujanja-ujanja lazima uone shida wakati huu wa kuishi kihalali.
Mimi na wewe nani Nyumbu halisi? Nyumbu wanaishi huko Afrika kwenye Joto huku hakuna Nyumbu. Shida inaweza kuwa na tafsiri yenye mtizamo tofauti kwa mtu tofauti na mazingira tofauti. Maisha ya ujanja siyajui, sijawahi kuyaishi na wala sitayaishi. Dini yangu haukunifundisha maisha hayo na pia haikunifundisha unafiki. Nani anaongoza Taifa lenu la Tanganyika mimi hainiathiri chochote. Hilo ukae tena ulijue vizuri ajuza weye.
 
Ninyi mnaobishana mtambue kuwa njaa bado ipo kama kuna mtu anabisha mwambie aende handeni mkoani Tanga akirudi atupe mrejeshi ya alichokiona . Nini unga wa njano watu wanakula hadi wadudu aina ya Ngeda. Cha ajabu mbunge wao kakaa kimya
 
Ukiwa mwenye kumbukumbu utagundua mahaba ya makadanda kwa Manji yamechagizwa na njaa ya akili na tumboni. Kumbuka alivyofanyiwa Lowassa.

Vijana wengi wanajiita basichaa kwa sasa wamefungua vinywa wakijinadi kama "wasafishaji".

Waandishi nguli wa habari za uchunguzi sasa wapo tayari kukana yote walivyowahi kuandika dhidi ya Manji kwa kukana vielelezo ya awali.

Aha ha ha hapo chamani sasa watu wapo tayari kwa kufanya muamala wa haja endpo tu dau linawekwa mezani.

Akili kumkichwa.
Mimi huwa najiuliza hivi ni kwanini vijana wa lumumba hamna weredi?
 
Ccm hatari, hata vibinti vidogo roho mbaya kama shetani! Au ndiyo yale ya kuambiwa mtaishi kama shetani basi hata kufikiri kama shetani?
Manji ni diwani wenu, katoa ajira zaidi ya elfu tano. Akikosa anasemwa lakini akionewa anatetewa. Wewe mabwana zako kumchukia Manji basi hutaki wengine wamtetee? Mbunge gani wewe kikaragosi namna hii?
Nawashangaa sana watu wa ccm,hawana hata uwezo wa kufikiri nini waandike
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom