Mahaba niteke, nimalize kabisa hapa sitoki ng'o

Teh teh teh!mwisho wa siku ni mimba tu!
 
Mambo ya mahaba kuch kuch hota hai hayo lol raha sana
 
Mambo ya mahaba kuch kuch hota hai hayo lol raha sana

Hapo bado kujiviringisha katika bustani tu.

Dada, nilisahau kukupa website ya upishi. Cookpad.com. Unaitumia?
 
Hiyo mbona kawaida 2.Wacha kidume kiumie.Ila hatayalipia maumivu yt kunako 6*6.Nowadays there is No a Free Lunch
 
Kwenye mahaba lazima mmoja aumie...kwa zamu.....ila maumivu yenyewe yawe yanayoleta raha moyoni kama hivyo.....sio kutoana ngeu....

Mbona Tarime ngeu ni sign ya kupendan piaa
 
Hapo Roho Yako Imefurahi Ukibembelezwa Kama Hivyo!

Sanaaaaaa apo bado kuimbiwa tu lol na kucheza kwenye mvua ....

Tum Hi Ho Aashiqui 2 Official New Hit Music Video Song Full HD 1080p b...: http://youtu.be/qLjv9GqxYqQ
 
Ndo unataka kubanjaa unashindwa ati kisa mpenzii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…