Member momja wa jf ambaye makazi yake ni celebrity forums amekutwa akitakatishwa na my wife wake Live na OFM. Aidha member huyo alikataa katakata kuongelea why amekubali kukogeshwa na mama watoto.JF TV ilijaribu kuongea na mama watoto but hakutaka kuoneshabushirikiano hadi tunaingia mitamboni..