Z ZeMarcopolo Platinum Member Joined May 11, 2008 Posts 14,279 Reaction score 7,689 Nov 29, 2011 #1 "nyinyi vaeni magwanda, sisi tunavaa majoho" - alisikika akisema mmoja wa wahitimu wa chuo kikuu cha Dodoma (UDOM). Nimejiuliza, nini kinaendelea? Mavazi, chuo, siasa, vyama n.k
"nyinyi vaeni magwanda, sisi tunavaa majoho" - alisikika akisema mmoja wa wahitimu wa chuo kikuu cha Dodoma (UDOM). Nimejiuliza, nini kinaendelea? Mavazi, chuo, siasa, vyama n.k