Magufuli

Afande Fojuman

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
657
Reaction score
548
Zawadi nono kwa atakaejibu kwa Usahihi maswali yafuatayo:

1. Mwenye picha ya Magufuli akiwa na Mwl. J. K. Nyerere aitume, kuna 50,000/= angalizo isiwe editing
2. Mwenye picha ya Mh J. P. Magufuli akihutubia ughaibuni, kuna 70,000/=
3. Mwenye picha Mh Magufuli akimkumbatia mke wake, kuna 40,000/=
4. Mwenye video Mh J P Magufuli akiongea English, kuna 130,000 /=

Mtihani huo, kazi kwenu.
 
Hiyo ya kumkumbatia my wife wake haipo kabisa
 

jinga sana wewe kwa hiyo ndo inabadilisha uadilifu wake mila na tamaduni za kiafrika hatukumbatian nje kwa watu na wife hilo jizi lenu lililojilimbikizia mahera nje ya nchi hatulichagui pumbafuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…