Nachelea kusema hivyo Kwa maana kwamba watanzania hakuna na mbinu nyingine ya kuua kuiangusha CCM.
Kupitia Magufuli ni dhahiri kwamba kufa Kwa CCM Kuna Kuja haraka sana. Wananchi wanalia mambo yanavyokwenda, wanavyodhihakiwa na kadhalika...Asante Mungu Kwa kumleta magufuli