Mheshimiwa heshima yako,!
Nadhani si sahihi kabisa kwa Tibaijuka kupewa hata wizara ya kuku katika serikali yetu ya JMT. Hii ni kwa sababu huyu pro. amefanya kazi nje ya nchi muda mrefu sana katika mfumo unaoeleweka na kujali na hivyo kutokuelewa mfumo wa utendaji kazi Bongo, mfumo ambao umejaa maigizo. Kwa maoni yangu akipewa wizara yoyote baada tu ya mwezi kutakuwa na ufisadi wa kupindukia katika hiyo wizara na waziri huyu atabaki amepigwa butwaa. So kwa maoni yangu hawezi maigizo ya uongozi wa Bongo kabisa hata huo ubunge nina mashaka kama atafanya vizuri. Haya ni mawazo yangu tu
mimi kama mtanzania siamini kama jk alishinda lakini kama kikwete atachagua mawaziri ningependa tibaijuka kuchukua elimu na magufuli mambo ya ndani.
Mimi kama Mtanzania siamini kama JK alishinda lakini kama kikwete atachagua mawaziri ningependa Tibaijuka kuchukua elimu na Magufuli mambo ya ndani.
Mimi kama Mtanzania siamini kama JK alishinda lakini kama kikwete atachagua mawaziri ningependa Tibaijuka kuchukua elimu na Magufuli mambo ya ndani.