Magufuli wampe mambo ya ndani na Tibaijuka elimu

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,598
8,738
Mimi kama Mtanzania siamini kama JK alishinda lakini kama kikwete atachagua mawaziri ningependa Tibaijuka kuchukua elimu na Magufuli mambo ya ndani.
 
Kuwa Professor si uwezo wa kusimamia Elimu, hata aliyepo ni Ptof. au ww unatoka kure kwetu?
 
Mheshimiwa heshima yako,!
Nadhani si sahihi kabisa kwa Tibaijuka kupewa hata wizara ya kuku katika serikali yetu ya JMT. Hii ni kwa sababu huyu pro. amefanya kazi nje ya nchi muda mrefu sana katika mfumo unaoeleweka na kujali na hivyo kutokuelewa mfumo wa utendaji kazi Bongo, mfumo ambao umejaa maigizo. Kwa maoni yangu akipewa wizara yoyote baada tu ya mwezi kutakuwa na ufisadi wa kupindukia katika hiyo wizara na waziri huyu atabaki amepigwa butwaa. So kwa maoni yangu hawezi maigizo ya uongozi wa Bongo kabisa hata huo ubunge nina mashaka kama atafanya vizuri. Haya ni mawazo yangu tu
 
ningekuwa na uhuru ningetoa hasira zangu kwa kuwatukana wabunge za CCM ila kwasababu hamniruhusu naenda kulala na Hasira zangu I hate them Please please I hate u guys nasikia kuua..................
 
mimi kama mtanzania siamini kama jk alishinda lakini kama kikwete atachagua mawaziri ningependa tibaijuka kuchukua elimu na magufuli mambo ya ndani.

huyu mama pamoja na kelele zake ningempa wizara ya mipango na majenzi
 
Ni kweli lakini alikuwa active sana kwenye NGO labda atasaidia elimu ambako watoto wanategemea tution na walio mikoani hata walimu hawana
 
Mimi kama Mtanzania siamini kama JK alishinda lakini kama kikwete atachagua mawaziri ningependa Tibaijuka kuchukua elimu na Magufuli mambo ya ndani.

Kote umegonga nyundo, Magufuli akipewa mambo ya ndani vyeti vya uraia tutapata bila urasimu, kitenga cha usalama wa raia wategemee kibano kitakatifu.
 
Mimi kama Mtanzania siamini kama JK alishinda lakini kama kikwete atachagua mawaziri ningependa Tibaijuka kuchukua elimu na Magufuli mambo ya ndani.

Ili nchi hii iendelee tunahitaji umeme wa uhakika. Hii pia itavutia wawekezaji zaidi. Kwahiyo Magufuli anafaa apewe wizara ya nishati na madini. I tell you uzalishaji wa umeme utaongezeka mara dufu na kuwa wa uhakika zaidi. Pia sekta ya madini itaanza kuwanufaisha watanzania na si wageni tu.
 
Back
Top Bottom