Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,937
- 19,129
Rais Magufuli amesema wachumi wa nchi hii hawafikirii vyanzo vingine vya mapato bali wanawaza tu kupandisha bia na pombe jina lake
Amesema wanaweza kufikiria mbinu ya kukusanya mapato kutoka kwa machinga kwa kuwapa vitambulisho amabavyo watavilipia na njia nyingine ya kuweka kituo cha kusajili madini yanayotoka nchini na kulipiwa yanapopigwa muhuri ila hawana ubunifu kabisa