Magufuli Vs Samia

Tuache na mama tetu.

Mungu mbariki mama Samia
 
Unapomlinganisha mtu muungana, mstaarabu, mwerevu NA mtu katili, mshamba, mtesaji, mdhulumaji, mbaguzi, muuaji- ni kumkosea sana huyo mtu wa kwanza.

Marehemu anastahili kushindanishwa na mtu kama Idd Amin, Bokasa au Nguema.
Vipi mzee bado una muunga mkono mtu muungwana?
 
Ili ujue mama yupo vizuri..hao oote wanaobweka kipindi cha mama na wanaachwa wabweke..ingekua kipindiki cha mwendazake wasingethubutu kubweka.
Hivyo wajinga tu ndio wasiomuelewa mama kua ni kiongozi shupavu asie na oga wala hasila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…