jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 651
- 2,246
Wako mbali Sana, mithili ya umbali wa kutoka North Pole hadi South Pole!😁Acha kumlinganisha bimkubwa na vitu vya kijinga
Yaani sijui hata mtu anaanzia wapi kuwalinganisha hawa watu.Wako mbali Sana, mithili ya umbali wa kutoka North Pole hadi South Pole!
Acha kumlinganisha hayati ....na mazuri yakeAcha kumlinganisha bimkubwa na vitu vya kijinga
Hayati au takatakaAcha kumlinganisha hayati ....na mazuri yake
na waliopo
Acha kumlinganisha Rais kiongozi na Yule Dikteta alitaka kujimilikisha nchi na genge lake. Mwenzako Sabaya ananyea Debe usiku. Mtaota mpaka mpagawe. Rais ndiyo mama Samia Suluhu Hasan halinganinywi na kinyamkela chochote kile. MATAGA mtage mpaka nyumba ya mayai iishe Ila ndiyo hivyo tena. Mkitaka kumfuata Jamaa sageni vyupa na nyembe mmezee na coke baridi. SimpleNi dakika ya ngapi ya mpambano mimi hata sifahamu.Lakini...
Ni lazima mmoja baina yao mwisho wa siku atangazwe mshindi!
Ni lazima mpambano uendelee kuwa wa wazi namna hii ili watoa hukumu waendelee kuwa na maksi sahihi kwa kila mmoja wao.
Ni lazima Samia aongeze kasi ya kuupiga mwingi ili kwalo angalau azibe mapengo ya alama alizoachwa nyuma na JPM.
JPM mzuri sana kwa kukaba mianya na matobo na ndiyo maana maksi nyingi bado wengi wanampa yeye...
Mama anazingua katika mipira ya kona!
Hili game kwa namna lilivyo umama ukizidi sidhani kama atatoboa huyo mzenji.
Yangu macho!
Shujaa wa AfricaAcha kumlinganisha Shujaa wa Afrika na vitu vya kipumbavu
Chukua 10 Mkuu. Mwambie huyo Jamii ya MATAGA. Mwambie Yuko MATHA kwa raha hakuna kupotezana wala kumwaga damu. Siku 100 za mama zimerejesha furaha na Amani mioyoni mwa watanzania. Hata nikiwa sina kumi mfukoni lakini naishi bila kulinganishwa na shetani huoni ni Raha Sana hiyo? Mwambie huyo TAGA🤣🤣🤣🤣🤣Unapomlinganisha mtu muungana, mstaarabu, mwerevu NA mtu katili, mshamba, mtesaji, mdhulumaji, mbaguzi, muuaji- ni kumkosea sana huyo mtu wa kwanza.
Marehemu anastahili kushindanishwa na mtu kama Idd Amin, Bokasa au Nguema.
Chukua 10 Mkuu. Mwambie huyo Jamii ya MATAGA. Mwambie Yuko MATHA kwa raha hakuna kupotezana wala kumwaga damu. Siku 100 za mama zimerejesha furaha na Amani mioyoni mwa watanzania. Hata nikiwa sina kumi mfukoni lakini naishi bila kulinganishwa na shetani huoni ni Raha Sana hiyo? Mwambie huyo TAGAUnapomlinganisha mtu muungana, mstaarabu, mwerevu NA mtu katili, mshamba, mtesaji, mdhulumaji, mbaguzi, muuaji- ni kumkosea sana huyo mtu wa kwanza.
Marehemu anastahili kushindanishwa na mtu kama Idd Amin, Bokasa au Nguema.
Una hasira....Hayati au takataka
Ni dakika ya ngapi ya mpambano mimi hata sifahamu.Lakini...
Ni lazima mmoja baina yao mwisho wa siku atangazwe mshindi!
Ni lazima mpambano uendelee kuwa wa wazi namna hii ili watoa hukumu waendelee kuwa na maksi sahihi kwa kila mmoja wao.
Ni lazima Samia aongeze kasi ya kuupiga mwingi ili kwalo angalau azibe mapengo ya alama alizoachwa nyuma na JPM.
JPM mzuri sana kwa kukaba mianya na matobo na ndiyo maana maksi nyingi bado wengi wanampa yeye...
Mama anazingua katika mipira ya kona!
Hili game kwa namna lilivyo umama ukizidi sidhani kama atatoboa huyo mzenji.
Yangu macho!
Hizi ndio nguruwe zinazo sababisha tunapigwa ban daily.Una hasira....
itakuwa alikubokoa
Ni dakika ya ngapi ya mpambano mimi hata sifahamu.Lakini...
Ni lazima mmoja baina yao mwisho wa siku atangazwe mshindi!
Ni lazima mpambano uendelee kuwa wa wazi namna hii ili watoa hukumu waendelee kuwa na maksi sahihi kwa kila mmoja wao.
Ni lazima Samia aongeze kasi ya kuupiga mwingi ili kwalo angalau azibe mapengo ya alama alizoachwa nyuma na JPM.
JPM mzuri sana kwa kukaba mianya na matobo na ndiyo maana maksi nyingi bado wengi wanampa yeye...
Mama anazingua katika mipira ya kona!
Hili game kwa namna lilivyo umama ukizidi sidhani kama atatoboa huyo mzenji.
Yangu macho!
Tundu lako lilitanuka ww sio bure.....Hizi ndio nguruwe zinazo sababisha tunapigwa ban daily.
Alibokoa kibwenye cha mama yako sio.