Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,185
- 18,513
Nimeona hii picha wakati wa uziznduzi wa daraja la Rusumo, Rwanda wanaonekana kuvaa tshirt special kwa ajili ya uzinduzi ila watanzania wamevaa tshirt za uchaguzi 2015 zenye nembo ya Magufuli.
Hata kama ni kubana matumizi hii ni mbaya sana. Ina maana hata tshirt ni anasa. basi wangevaa nguo za kawaida lakini sio tshirt za ccm za uchaguzi.
Hata kama ni kubana matumizi hii ni mbaya sana. Ina maana hata tshirt ni anasa. basi wangevaa nguo za kawaida lakini sio tshirt za ccm za uchaguzi.