john agrey
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 1,280
- 2,079
Naona kina zitto wapo field sasa hii mikutano yao sio salama kwako wala chama chako jaribu kuona wapi umeteleza, na hawa wabunge wa ccm walivo waoga na mawaziri wao utashangaa wameacha bunge warudi majimboni kufukuzana na kina zitto.