Magufuli uko wapi mateso haya ya heslb huyaoni?

fieldmashal

Member
Nov 22, 2015
78
3
Mh jpm nakumbuka wakati wa kampeni zako ukiwa morogoro uliwahi sema nakunukuu"najuwa hapa morogoro kuna vyuo vingi sana swala la mikopo nitalishugulikia tena anaye gawa hii mikopo hiiiiiiiiiiiiiiiiii ajiandae haiwezekani mwanafunzi akose mkopo tena mkopo! "mwisho wa kunukuu chakushangaza anaegawa mikopo bado yupo na wanafunzi tumekosa mikopo haya tunaondelea na masomo mwaka umeisha tunakula jalalani tukiwa na imani kuwa ipo siku na sisi serikali itatukumbuka chaajabu hakuna kinachoendelea wapiga kura wako tunaumia sana tunaomba utupe mkopo na uanze na huyo mkuu wa heslb kama ulivyo ahidi nawasilisha inauma sana maisha magumu sana
 
Ndugu upo na mimi kila nikikaa nawaza sana nipo mkoa wa watu na maisha magumu sana
 
Duh, poleni ndugu zangu! hii issue sijui itasovikaje lakini hali sio shwri kabisa. Leo nmekwenda heslb baada ya kukosa mkopo miaka mitatu yote; nikiwa nshitaji kujus mini sababu ya kukosa mkopo. Jibu sijapata zaidi, nimeambiwa nimuone katibu, ambaye hakuwepo oficn leo
 
Jaman mimi inafika sehemu najuta kwanini nilisoma hadi natakaman kuchukuwa kamba
 
Duh, poleni ndugu zangu! hii issue sijui itasovikaje lakini hali sio shwri kabisa. Leo nmekwenda heslb baada ya kukosa mkopo miaka mitatu yote; nikiwa nshitaji kujus mini sababu ya kukosa mkopo. Jibu sijapata zaidi, nimeambiwa nimuone katibu, ambaye hakuwepo oficn leo

. Hawa watu mungu atawalipo naomba alishababo waje hapo wauwe members wote wa heslb
 
Me nimeona. mutu kama anamkopo hawezi juwa kabisa kwamba kunawengine wanakula jalalani chuoni disunity ndo inaanzia hapa kwa ushauri wangu bora wasinge ongeza boom badala yake wakahakikisha kila mwachuo anapata boom ata kama ni kidogo sisi wote niwatanzania
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom