ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,319
- 50,533
Rais magufuli tunakuamini. Watanzania na sisi wana ccm tunapenda uwe mwenyekiti wa chama hiki kinachotuunganisha Watanzania. Na kwa kuwa ccm ilikuwa imejaa mafisadi hadi kufikia kukamatwa na maburungutu ya hela pale dodoma kipindi tunapata mgombea wewe. Hatujui ile kesi iliishia wapi. Kupewa uenyekiti vyombo vyetu vya usalama vifanyie kazi ishu ile ili uwatumbue wahusika. Ccm kuvunja miiko ya uongozi ilikuwa ni kosa kubwa.. Ila tumekisamehe chama na tunakuombea uzidi ku deal na hawa waliotufikisha hapa