Magufuli toka sasa ukabadilishane uzoefu na viongozi wenzio

Nkungulume

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
2,988
1,209
Tunampongeza rais John Pombe kwa kazi kubwa ya kubana matumizi na kuiwezesha serikali kufanya kazi kubwa za maendeleo kwa wananchi.

Lakini nadhani kuwa sasa ni wakati muafaka wa kutoka nje na kupata uzoefu kwa maana ya kubalishana mawazo na viongozi wenzake.

Mimi binafsi siamini nchi haiwezi kuendelea bila ya kuwa na ushirikiano na taasisi za kimataifa.
 
Tumefanya hayo kwa miaka 50 iliyopita sasa haya sema tumeendelea kwa kiasi gani? Kwa maana siyo unaandika tu ili mradi!
 
Unataka baadae ujeumuite John Walker mbona wao hawaji hapa kwetu muache amalize kwanza kuunda na kuiweka sawa serikali kuna uteuzi wa wakuu wa mikoa na wilaya na baadhi ya taasisi za serikali upo hapo.
 
Tumefanya hayo kwa miaka 50 iliyopita sasa haya sema tumeendelea kwa kiasi gani? Kwa maana siyo unaandika tu ili mradi!
Maendeleo ni mengi sana mkuu labda kama mtoto wa miaka ya elfu 2 mabarabara yamejengwa kote majengo ya kisasa ni mambo mengi sana mkuu.
Na mimi naamini bila kubadilishana mawazo na viongozi wengine huwezi kufika mbali na ndio maana umeona hata yeye imebidi atume ujumbe.
 
Sasa mbona unaongea na kujijibu mwenyewe? Wewe mwenyewe umesema Raisi ametambua na ametuma ujumbe, sasa unataka nini tena?
 
Lakini nadhani kuwa sasa ni wakati muafaka wa kutoka nje na kupata uzoefu kwa maana ya kubalishana mawazo na viongozi wenzake.
We vipi ni mmoja walikuwemo misafara ya raisi ya hapa na pale nje ya nchi na kujipatia hela za safari ni nini?
Kwani nini hao watu wa nje wasije Tanzania kujifunza na kubadilishana mawazo Tanzania? Lazima mtanzania aende kujifunza kwao? Kwetu Tanzania hawana cha kujifunza au kubadilishana mawazo?

Kama ni kujua nchi fullani inaendeleaje mawazo yamejaa kibao hata kwenye internet yapo ni juhudi yako tu ya kujisomea.
 
Mwacheni abaki humuhumu achape kazi, maana akitoka tu kuna wakuda wataitumia hiyo fursa kupiga dili. Mwacheni akamilishe uteuzi kwanza then aanze kuzunguka nchi nzima kukagua maradi ya maendeleo na kuwawajibisha wasaka tonge. Ziara za nje hata UN si kipaumbele kinachoweza kuipeleka nchi hii kwenye uchumi wa kati. Magufuli mbele kwa mbele!!!!!
 
Tunampongeza rais John Pombe kwa kazi kubwa ya kubana matumizi na kuiwezesha serikali kufanya kazi kubwa za maendeleo kwa wananchi.

Lakini nadhani kuwa sasa ni wakati muafaka wa kutoka nje na kupata uzoefu kwa maana ya kubalishana mawazo na viongozi wenzake.

Mimi binafsi siamini nchi haiwezi kuendelea bila ya kuwa na ushirikiano na taasisi za kimataifa.
Tatizo ni ndege
 
We vipi ni mmoja walikuwemo misafara ya raisi ya hapa na pale nje ya nchi na kujipatia hela za safari ni nini?
Kwani nini hao watu wa nje wasije Tanzania kujifunza na kubadilishana mawazo Tanzania? Lazima mtanzania aende kujifunza kwao? Kwetu Tanzania hawana cha kujifunza au kubadilishana mawazo?

Kama ni kujua nchi fullani inaendeleaje mawazo yamejaa kibao hata kwenye internet yapo ni juhudi yako tu ya kujisomea.
Mkuu hapa watakuja lakini lazima na yeye atoke maana ameshatuma ujumbe mara mbili sasa nadhani imefika wakati na yeye atoke
 
Ni maoni yako mkuu huzuiliwi unachoona kinafaa
Ni kweli ila ni vema ukaacha fikra za utegemezi na ukaamua kutumia akili na resources chache ulizo nazo kuliko kulialia kwa majirani kila siku wale siyo baba zako
 
Mkuu hapa watakuja lakini lazima na yeye atoke maana ameshatuma ujumbe mara mbili sasa nadhani imefika wakati na yeye atoke
Kwa hiyo aende kwa Nkuruzinza akachukue uzoefu sio?Akitaka uzoefu wa kimataifa upo hapo msoga hana sababu ya kuupandia ndege
 
Ni kweli ila ni vema ukaacha fikra za utegemezi na ukaamua kutumia akili na resources chache ulizo nazo kuliko kulialia kwa majirani kila siku wale siyo baba zako
Labda sijaeleweka maana mimi nanavyomuona rais ni kama baba mwenye nyumba kwamba huwezi ukawa ndani kwako tu unatoka na kurudi husalimii jirani unaweza ukapata tatizo na wao wakasusa.

Na unapobadilishana mawazo siyo kwamba yote unayoambiwa unakubali unapata yale mazuri unachua mabaya unamwachia mwenyewe
 
Tunampongeza rais John Pombe kwa kazi kubwa ya kubana matumizi na kuiwezesha serikali kufanya kazi kubwa za maendeleo kwa wananchi.

Lakini nadhani kuwa sasa ni wakati muafaka wa kutoka nje na kupata uzoefu kwa maana ya kubalishana mawazo na viongozi wenzake.

Mimi binafsi siamini nchi haiwezi kuendelea bila ya kuwa na ushirikiano na taasisi za kimataifa.
subiri asafishe nyumba kwanza mpaka atakaporidhika. Hizo za kukutana na viongozi wengine watafanya wasaidizi wake kwa kibali maalum kutoka ikulu.
 
Back
Top Bottom