SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Mgombea urais kupitia ccm john pombe magufuli anatajwa kuwa atashinda uchaguzi huu kwa 89% kwa kuwa anakubalika kwa wananchi kwa kiwango kikubwa
mgombea urais kupitia ccm john pombe magufuli anatajwa kuwa atashinda uchaguzi huu kwa 89% kwa kuwa anakubalika kwa wananchi kwa kiwango kikubwa
tafitti zaonyesha magufuli ni kinara na ataongoza kwa zaidi ya silimia 70 huku wakifuatiwa na act na ukawa
kawa kugawana kura na ccm kanda ya kaskazini huku ccm ikiongoza kanda ya ziwa, dar es salaam na maeneo ya kusini
kura za jumla lazima ,magufuli aongozeee