UnawewesekaTwiga weetu haaaaooo, na tembo maskini, vizazi vijavyo vitaona picha tu, madawa ya kulevya ndo hayo yatazidi kuharibu kizazi, poleni sana watz
Unaweweseka
safari hii wakisusia bunge hakuna kuapisha mtu
Kama alituibia pesa zetu katika mikataba yake feki ya richmond.Na yeye muacheni mbowe na wenzake watafune pesa zake mpaka akome.Kikwete alishasema "ukipenda kula na wewe lazima ukubali kuliwa".lakini ikulu ataenda kwa mualiko maalum wa raisi magufuli.