Magufuli "Selema" Ni chaguo la Mungu

Magufuli "Selema" Ni chaguo la Mungu

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
12122829_875113532565677_8541323381741115893_n.jpg

Tunaimani na hali ya juu kwako....Magufuli kiongozi anayesikiliza watu.....Magufuli kiongozi mwenye maamuzi sahihi ya kuleta maendeleo...tarehe 25 is your day...tutakuchagua rasmi kua rais wa Taifa hili....nakupongeza Rais wetu mtarajiwa kwa kusema ukweli juu ya kuanzisha MAHAKAMA MAALUM YA MAFISADI NA KUTOA ELIMU BURE IKIWA NI PAMOJA NA KUJENGA VIWANDA NA KUFUFUA VISIVYOFANYA KAZI..PIA KUBORESHA HUDUMA ZA JAMII IKIWEMO HUDUMA ZA AFYA....MAGUFULI CHAGUO LA WENGI...TUNAIMANI NA WEWE..

#MIMI NITAMCHAGUA MWADILIFU

#CHAGUACCM

#HAPAKAZITU
 
labda mungu yule anayekimbizwa. Leo kazimwa dodoma ambaye yupo kwenye mabando yake. (isaya 50:11)
 
Lowassa Kwisha habari yake. Chagadema Kwisha habari yao. Lowassa amepaniki na kupaniki.
 
Kama alituibia pesa zetu katika mikataba yake feki ya richmond.Na yeye muacheni mbowe na wenzake watafune pesa zake mpaka akome.Kikwete alishasema "ukipenda kula na wewe lazima ukubali kuliwa".lakini ikulu ataenda kwa mualiko maalum wa raisi magufuli.
 
12122829_875113532565677_8541323381741115893_n.jpg

Tunaimani na hali ya juu kwako....Magufuli kiongozi anayesikiliza watu.....Magufuli kiongozi mwenye maamuzi sahihi ya kuleta maendeleo...tarehe 25 is your day...tutakuchagua rasmi kua rais wa Taifa hili....nakupongeza Rais wetu mtarajiwa kwa kusema ukweli juu ya kuanzisha MAHAKAMA MAALUM YA MAFISADI NA KUTOA ELIMU BURE IKIWA NI PAMOJA NA KUJENGA VIWANDA NA KUFUFUA VISIVYOFANYA KAZI..PIA KUBORESHA HUDUMA ZA JAMII IKIWEMO HUDUMA ZA AFYA....MAGUFULI CHAGUO LA WENGI...TUNAIMANI NA WEWE..

#MIMI NITAMCHAGUA MWADILIFU

#CHAGUACCM

#HAPAKAZITU

Magufuli ni Chaguo la Mungu
 
Twiga weetu haaaaooo, na tembo maskini, vizazi vijavyo vitaona picha tu, madawa ya kulevya ndo hayo yatazidi kuharibu kizazi, poleni sana watz
 
Magufuli mwanzo mwisho.

Tunapiga chini Lowasa
 
Back
Top Bottom