Magufuli rudi tena Mbeya hali si shwari

Magufuli rudi tena Mbeya hali si shwari

Mssassou

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2015
Posts
1,537
Reaction score
597
Tangu Lowassa aje afanye kampeni huku Mbeya hali ya kisiasa sio nzuri kwa upande wa CMM.Rudi Magufuli ili usawazishe huu mkoa unawatu wengi Sana.Watu wamepewa uwongo mwingi Sana na wanauamini.
 
Akija Mbeya tutamwonesha umofia wetu.
 
Hata arudi na yesu huo mkoa hawezi kuukomboa tena. Mwache ahangaike kuokoteza okoteza huko kwao maana hali ni mbaya kwa CCM. Kukataliwa nyumbani ni laana.
 
Haaaaaaah mnajidanganya UKAWA Mbeya tunaenda na Magufuli
 
Haitaisadia wanambeya washaamua bora akomae na home jpo nako hali c nzur eddo hafai kbs kaharb kla kona
 
Kumbe hapa ushindi ni lazima leo tupo na Nchemba kesho kutwa mama samia hapo kati

Nikuambie kitu kwa sasa asilimia kubwa ya mnaowaamini mko nao ni mdomoni tu kuna watu ni ccm damu wana bendera za ccm kadi ya ccm.ila wanakuambia kura wanampa lowassa wanaogopa kujitokeza kiwaziwazi kuogopa visasi amini hivyo ccm ya miaka ile sio hii ya leo.
 
arudi tena mbeya kwani ina maana magufuri kuabika kwa kuzomewa kama mtoto anapenda?
QUOTE=Mssassou;14399510]Tangu Lowassa aje afanye kampeni huku Mbeya hali ya kisiasa sio nzuri kwa upande wa CMM.Rudi Magufuli ili usawazishe huu mkoa unawatu wengi Sana.Watu wamepewa uwongo mwingi Sana na wanauamini.[/QUOTE]
 
Nikuambie kitu kwa sasa asilimia kubwa ya mnaowaamini mko nao ni mdomoni tu kuna watu ni ccm damu wana bendera za ccm kadi ya ccm.ila wanakuambia kura wanampa lowassa wanaogopa kujitokeza kiwaziwazi kuogopa visasi amini hivyo ccm ya miaka ile sio hii ya leo.

We ndo utakapo ona kura nani anapata Mbeya vijana wengi ni wanafki
 
Wananchi tunataka mabadiliko katika maisha yetu. Haijalishi ni CCM CDM au chama gani. Baada ya uchaguzi tusipoona mabadiliko ya dhati ni kuwajibishana tu! Ila bahati mbya ile katiba yetu bado iko kapuni.
 
Tangu Lowassa aje afanye kampeni huku Mbeya hali ya kisiasa sio nzuri kwa upande wa CMM.Rudi Magufuli ili usawazishe huu mkoa unawatu wengi Sana.Watu wamepewa uwongo mwingi Sana na wanauamini.
sasa mkuu huyo magufuri c itabidi aanze upya tena kampeni kwani, sio mbeya tu ni karibu sehemu zote alizoanza kupita tinga tinga sasa baada ya B52,kupita hata alama ya kuwa kulikuwa na tinga tinga hapo, huwezi jua
 
Haaaaaaah mnajidanganya UKAWA Mbeya tunaenda na Magufuli

Uzuri wa Mbeya hakuna watu kama wewe, maana hata msomali hawezi kuishi hapa. Goli la mkono tunakata mkono kwa kutumia nyengo. Mbeya ni yetu na Sugu ni Rais
 
Back
Top Bottom