Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,739
Niko Kiteto kwashughuli zangu kuna kitu nimekiona na nikili kabisa pamoja na kushuhudia rushwa mikoa mbalimbali chini ya jeshi la polisi lakini kwa kinachoendeshwa na Jeshi la polisi hapa Kiteto ni funga kazi na hakika Magufu anamajipu ya kutumbua mpaka mwenye majipu atakufa kama kweli majipu yataamuliwa kutumbuliwa mfano Mdogo tu Barabara ya kutoka Kiteto kwenda Dodoma Trafiki huweka belia kila Gari kwamaana Magari madogo madogo (Noah) na mabus yanayopita njia hiyo ambayo hutumika pia wasafiri wa kwenda Mbeli, Mtui, Ngusero na mabus ya kwenda Dodoma polisi hukusanya 5000 - 10000 kwa kila Noah na mabus kwa kila siku nipofanya uchunguzi wangu kupitia baadhi ya Askali walisema ni mradi wa Boss wao kichekesho ni pale Noah za kutoka Mbeli kuanza kutumia njia ambayo ni shortcut kabla hujafika sehemu ambayo polisi hao huwasubiria maarufu kama kinapa kikatumwa kikundi kingine cha kuhakikisha yoyote anayepita shortcut hiyo akikamatwa analipishwa 30,000 kumbuka pesa zote hizo hakuna cha risiti katika Trafiki ambao ndiyo hulisimamia zoezi hili ni Isimail na Buruani ambao Hawa mmoja wao au wote uwakosi hapo....
Hivyo basi siku unaelekea Arusha hebu pitia kwanza hapa Kiteto maana tunaambiwa ni mradi wa mkubwa naamini siyo mradi wako.
Hivyo basi siku unaelekea Arusha hebu pitia kwanza hapa Kiteto maana tunaambiwa ni mradi wa mkubwa naamini siyo mradi wako.