Magufuli: Niombeeni nisibadilike

Mh.Magufuli anapaswa2 kuwa mbali na wale wote ambao MAKO alikuwa anawasema adhalani bila kificho, asifanye makosa ya kuwarudisha kwenye CABINET au kuwafanya washauri wake wa KARIBU.

Wengine walipigiliwa MISUMARI hawatoki ................
 
Masikini Dr. Magu, angelijua Mr. Cleanest Ben mafisi yalivyomzunguka hata asingenena haya! Nasikia deal la EPA aliwaelekeza wachukue kiasi kisichozidi 10 b kwa ajili ya kampeini lakini kushtuka zimechotwa 350 billion!
 
Hapo ni kwamba anaweza kufanya jambo la kuhatarisha au kuangamiza Taifa. Kumbuka, Magufuli mara nyingi huwa anazuiwa na wa juu yake katika maamuzi yake. Type yakina Magufuli ni hatari kwa usalama wa Taifa. Sasa ni muda wa Usalama wa Taifa kuwa macho endapo Magufuli atakua rais.

si kweli big noooo!
wao ndio walicomment jamaa afike alipofika wakijua ni mchapakazi na aggressive kuliko wangemweka mtu mwingine yoyote!
 
Back
Top Bottom