Magufuli ni shujaa wa Afrika karne ya 21

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
14,193
Reaction score
2,815
Ni mwamba mpya ukanda wa Afrika. Ni kiongozi tuliyemtaka karne nyingi bila mafanikio. Tunamshukuru Mungu kutupatia kiongozi anayeichukia rushwa kwa vitendo, anayechukia uzembe kwa vitendo, anayeenenda maneno yake. ukimtazama kwa makini utagundua ana Unyerere, umandela na UNkrumah
 
Tatizo ni dikteta uchwara, yaani ni kadikteta ketu
 
Ni mwamba mpya ukanda wa Afrika. Ni kiongozi tuliyemtaka karne nyingi bila mafanikio. Tunamshukuru Mungu kutupatia kiongozi anayeichukia rushwa kwa vitendo, anayechukia uzembe kwa vitendo, anayeenenda maneno yake. ukimtazama kwa makini utagundua ana Unyerere, umandela na UNkrumah
Nyumba za serikali ziko wapi? Alimpa mwanafunzi kwa utaratibu upi? Makanisa pale chato yalijengwa kwa hela toka wapi, alizipata wapi? na mengine mengi? Mbona mnatumia nguvu kubwa kumnadi? Kizuri chajiuza kibaya..................
 
Endeleeni kusifu na kuabudu kama ilivyo kawaida yenu.
 
Nyumba za serikali ziko wapi? Alimpa mwanafunzi kwa utaratibu upi? Makanisa pale chato yalijengwa kwa hela toka wapi, alizipata wapi? na mengine mengi? Mbona mnatumia nguvu kubwa kumnadi? Kizuri chajiuza kibaya..................
Na anauzika vilivyo ndani na nje ya nchi. Acha kujiweka pamba masikioni na kujitia upofu...kusoma hujui hats Picha huoni kweli?!
 
Ni mwamba mpya ukanda wa Afrika. Ni kiongozi tuliyemtaka karne nyingi bila mafanikio. Tunamshukuru Mungu kutupatia kiongozi anayeichukia rushwa kwa vitendo, anayechukia uzembe kwa vitendo, anayeenenda maneno yake. ukimtazama kwa makini utagundua ana Unyerere, umandela na UNkrumah
Tuishukuru pia CCM wapo vizuri kwa kutaumbua uwepo wake na kumsikisha mikoba maana wale wala rushwa wangepata nchi tungekoma! Hasa yule mwenye kesi ya uchochezi
 
Nyumba za serikali ziko wapi? Alimpa mwanafunzi kwa utaratibu upi? Makanisa pale chato yalijengwa kwa hela toka wapi, alizipata wapi? na mengine mengi? Mbona mnatumia nguvu kubwa kumnadi? Kizuri chajiuza kibaya..................
Hakuna mtakatifu asie na dhambi. Wengi walifanya makosa makubwa sana ila mwisho wake wakawa watakatifu
 
Ni mwamba mpya ukanda wa Afrika. Ni kiongozi tuliyemtaka karne nyingi bila mafanikio. Tunamshukuru Mungu kutupatia kiongozi anayeichukia rushwa kwa vitendo, anayechukia uzembe kwa vitendo, anayeenenda maneno yake. ukimtazama kwa makini utagundua ana Unyerere, umandela na UNkrumah
MBONA UMEKURUPUKA KAMA ANAVOKURUPUKA?
We tuliza makalio usubiri mpaka amalize mbio zake ndo umuite shujaa wako
 
Hakuna mtakatifu asie na dhambi. Wengi walifanya makosa makubwa sana ila mwisho wake wakawa watakatifu
Basi if that is the philosophy, then let us not dig the forgotten dead/corpses!
 
Back
Top Bottom